unashauri nini?Hilo somo hawakujifunza 2010 au 2015, sidhani Kama wamejifunza 2020
Sasa bila ubunge atawasimamia vp Viti Maalum kwa ukaribu. Nafasi ya KUB amuachie nani?Mwenyekiti Mbowe na katibu wake Mnyika huchelewa sana kupaza sauti pale CCM na Dola zinapofanya figisu dhidi ya wagombea wa CHADEMA. Kuchelewa kuingilia Kati kunawafanya wafuasi wa CHADEMA kuchukua hatua kiholela na kujiingiza kwenye mtego wa Dola...
Niliandika kushauri Mbowe asigombee nikaona wamereply kwa kuweka picha za utupu Kisha modes wakaiondoa thread .Haya ya Tunduma yalianza mapema Sana hayakupigiwa kelele ya kutosha.Hana lolote la kushauri,mnafiki tu.
Angeshauri jiwe aache siasa za Roho mbaya haya yote yasingetokea.
Uchaguzi huru na wa Haki ndio dawa ya haya uovu wote.
Kwanini hadi leo hamjarudisha fomu? Hivi mnataka CCM iwape uwanja sawa enhe? Nyie ni sikio la kufa yaani .... acheni wawafunze siasa halisi za kipinzani huku Africa ....tunasubiri tweet zenu za malalamiko kamakawa ...unashauri nini?
Kwanini hadi leo hamjarudisha fomu? Hivi mnataka CCM iwape uwanja sawa enhe? Nyie ni sikio la kufa yaani .... acheni wawafunze siasa halisi za kipinzani huku Africa ....tunasubiri tweet zenu za malalamiko kamakawa ...
Anachokifanya Mbowe kwa jinsi ulivyooelezea ni faida kwenu wanaccm, kwa mantiki hiyo ulitakiwa ufurahie. Cha ajabu unasikitika.Mwenyekiti Mbowe na katibu wake Mnyika huchelewa sana kupaza sauti pale CCM na Dola zinapofanya figisu dhidi ya wagombea wa CHADEMA. Kuchelewa kuingilia Kati kunawafanya wafuasi wa CHADEMA kuchukua hatua kiholela na kujiingiza kwenye mtego wa Dola.
Zile press conference za Corona zilipaswa kufanyika katika masakata haya. Inawezekana mwenyekiti yupo Hai akipigania Ubunge huu ni udhaifu mkubwa. Bora Mnyika kajitambua.
Ubunge wa Mbowe utasababisha kukosekana viti zaidi ya 20 vya ubunge na mamia ya viti vya udiwani. CHADEMA ni Chama kikubwa, Mbowe alipaswa kusimamia kwa karibu zoezi la uchaguzi badala ya kutamani ubunge.
Mkuu ina Mana humjui mmiliki wa chama? Hicho chama ni Cha ukoo wengine wote wasindikizaji.Dawa ni kuibadilisha chadema itoke kwenye uanaharakati na kwenda kwenye utaasisi, bila hivyo chama kitaendelea kukosa mwenyewe kama ilivyo sasa.
Usipofushwe na hizi harakati za uchaguzi, kuna Tanzania baada ya purukushani hizi.Anachokifanya Mbowe kwa jinsi ulivyooelezea ni faida kwenu wanaccm, kwa mantiki hiyo ulitakiwa ufurahie. Cha ajabu unasikitika.
Umepata mlo wowote asubuhi hii ?Usipofushwe na hizi harakati za uchaguzi, kuna Tanzania baada ya purukushani hizi.
Mleta mada ameangalia mbali zaidi..upinzani bora na imara ndio mwalimu mzuri kwa chama kilichoshika dola.
Bila upinzani imara hakuna maendeleo ya kweli.
Mkuu isikupe shida, mbowe ni afisa 'Kipenyo'Mwenyekiti Mbowe na katibu wake Mnyika huchelewa sana kupaza sauti pale CCM na Dola zinapofanya figisu dhidi ya wagombea wa CHADEMA. Kuchelewa kuingilia Kati kunawafanya wafuasi wa CHADEMA kuchukua hatua kiholela na kujiingiza kwenye mtego wa Dola.
Zile press conference za Corona zilipaswa kufanyika katika masakata haya. Inawezekana mwenyekiti yupo Hai akipigania Ubunge huu ni udhaifu mkubwa. Bora Mnyika kajitambua.
Ubunge wa Mbowe utasababisha kukosekana viti zaidi ya 20 vya ubunge na mamia ya viti vya udiwani. CHADEMA ni Chama kikubwa, Mbowe alipaswa kusimamia kwa karibu zoezi la uchaguzi badala ya kutamani ubunge.
Mkuu,hayo ya upinzani imara ndio kichocheo cha maendeleo unayajua wewe. Mwenyekiti wa CCM na wana CCM hawataki upinzani kabisa. Wao demokrasia na upinzani kwao si uzalendo.Usipofushwe na hizi harakati za uchaguzi, kuna Tanzania baada ya purukushani hizi.
Mleta mada ameangalia mbali zaidi..upinzani bora na imara ndio mwalimu mzuri kwa chama kilichoshika dola.
Bila upinzani imara hakuna maendeleo ya kweli.
Mwenyekiti Mbowe na katibu wake Mnyika huchelewa sana kupaza sauti pale CCM na Dola zinapofanya figisu dhidi ya wagombea wa CHADEMA. Kuchelewa kuingilia Kati kunawafanya wafuasi wa CHADEMA kuchukua hatua kiholela na kujiingiza kwenye mtego wa Dola.
Zile press conference za Corona zilipaswa kufanyika katika masakata haya. Inawezekana mwenyekiti yupo Hai akipigania Ubunge huu ni udhaifu mkubwa. Bora Mnyika kajitambua.
Ubunge wa Mbowe utasababisha kukosekana viti zaidi ya 20 vya ubunge na mamia ya viti vya udiwani. CHADEMA ni Chama kikubwa, Mbowe alipaswa kusimamia kwa karibu zoezi la uchaguzi badala ya kutamani ubunge.
Hawa wanajua lolote basi wanafanya kwa mihemko tu.Kanuni inawataka warudishe leo na sio vinginevyo! Kurudisha siku yeyote ndio tatizo, unadhani fomu zinarudishwa siku unayojisikia? Kuna ratiba mkuu inatolewa na Tume, au Kigogo ameku mislead
Mwenyekiti gani mlevi .mtu muongo tu unalewa unaanguka huko unasingizia Eti umevamiwa ili ukatibiwe kwa hela za serikali .hata na hivyo CDM sio chama kikuba tena hiyo sifa walishaa ipoteza mdaHilo somo hawakujifunza 2010 au 2015, sidhani Kama wamejifunza 2020