TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Wafula Chebukati afariki dunia

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000

Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, ameaga dunia.

Pia soma: Kenya 2022 - Chebukati asimulia yaliyomkuta kabla ya kutangaza matokeo urais Kenya

Jumatatu, Bw. Chebukati alilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja jijini Nairobi baada ya hali yake ya afya kuzorota ghafla.

Pia soma: Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amelazwa ICU

Amekuwa akipatiwa matibabu kwa muda kwa ugonjwa ambao bado haujawekwa wazi, tangu baada ya uchaguzi mkuu wa 2022.
 
Wakishamaliza uchaguzi wanaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe. Siasa za africa zina wajinga wengi sana.
 
Atakuwa alipigwa cancer ili kupoteza ushahidi wa jinsi alivyoiba
 
Loo! Chebukati amekatika baada ya kumkata akidhani angeukata ukaishia kumkata. Tamaa mbaya. Kivuitu naye alikufa hivi hivi baada ya kuboronga matokeo ya uchaguzi.πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…