TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Nimekuelewa mnooo
 
REGINALD MENGI ameacha alama za kudumu katika TAIFA LETU, NI MTU ALIYEJAA HURUMA NA UPENDO.

WAHITAJI, MASKINI NA WANYONGE ALIWAHUDUMIA KWA MALI ZAKE BILA KUWABAGUA.
 
May Your Soul Rest In Eternal Peace !
 
RIP
Mzee Mengi. Murungu akukye andu eshaaa[emoji24][emoji24][emoji24]
 
RIP Mzee Mengi. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Umemaliza safari yako kama sisi sote, muda ukiwadia, itakavyokuwa.
 
Zengwe lazima sana hilo halina ubishi tena na tayari kuna mmoja anaitwa Roy yeye kajiandaa kumfanyia fujo mke mdogo asije kwenye mazishi
Hamna jinsi mkuu coz ngome yake ndio hvyo tena imelala chini
 
Lakini Mengi ni mtu dunia iko mkononi mwake, ni kwa nini aliamua kwenda matibabu Dubai? Hii ndio nchi yenye madaktari bingwa? Ama baada ya kufarik yabidi tuseme alikua matibabu
 
Nimeguswa Sana Sana Sana na msiba wa huyu Mzee like nimeshakutana nae tukasema mbili tatu. Kwakweli kila nafsi itaonja mauti. Bwana atusaidie kuhesabu siku zetu ili tuishi kwa hekima.
 
RIP mzee Mengi.
Sintakusahau kwa mapenzi yako kwa walemavu, vijana, Taifa kwa ujumla na kwa timu yetu ya wananchi- Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…