Mwenyekiti Mteule Kariakoo, Mushi: Nikipewa ushirikiano na Serikali migomo itaisha Kariakoo

Mwenyekiti Mteule Kariakoo, Mushi: Nikipewa ushirikiano na Serikali migomo itaisha Kariakoo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti Mteule wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo, Severin Mushi ameahidi kuhakikisha anatatua changamoto za wafanyabiashara hao akishirikiana nao pamoja na serikali jambo litakalosaidia kuondoa kabisa migomo ambayo imekuwa ikitokea.

Mushi ameyasema hayo leo Disemba 11,alipokuwa akitoa shukrani zake kwa wafanyabiashara hao kwa kumchagua ili kuongoza kwa kipindi cha miaka mitatu ambapo amehimiza kuwajibika kwa ambao anaowaongoza ili kutimiza malengo ya jamii hiyo ambayo ina mchango mkubwa kwa mapato nchini.
 
Back
Top Bottom