Pre GE2025 Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti CHADEMA ni paka na panya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa wewe hicho kinakuuma nini?
Nendeni mkaandike habari za wadudu
 
Mbowe anang'atuka anatamani kumuachia mikoba John Mrema wa Marangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Waganga wa kienyeji toka Lumumba mmeibuka siyo? Ni wapi Lissu kamshutumu Mbowe rushwa ya chaguzi za ndani Chadema?. Hotuba tumeisikia wote, fedha ya rushwa imetoka CCM kupandikiza mamruki kwenye uongozi Chadema. Kawashitukia na kuwapa makavu laivu.
 
Huo mgogoro unauona peke yako? Wenzenu wanaonyesha ukomavu. Mara ya mwisho CCM kufanya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti unakumbuka ilikuwa lini?
 
mtahangaika sana tena sana
 
Again?😒
Was not necessary chief.
Sorry again for such words. But could you be kindly to tell me what kind of words could I use to these kind of people. They are here to distroy our platform which we have worked so hard to bring it to this level. We started this platform but there people who are here to destroy it. I do not see why we should keep quiet while we see their but intentions.
 
Reactions: 511
Learn to manage intrusive thoughts instead of being overwhelmed by them.
 
This platform is full of thugs ,pobably ur one of them.
 
Bila shaka mleta.
mada atakuwa miongoni mwa yale matapeli mapiga ramli yanayojiita mganga maarufu toka Sumbawanga.

Apuuzwe kama tunavyoyapuuza yale matapeli ya 'tuma kwenye namba hii. Jina litakuja ...'.
Kwa mleta mada kamlisha maneno Lissu?
 
Kumbe wachagga siyo kabila? 🐼

Sirudii tena na isomeke Mrema wa Tabata πŸ˜‚πŸ˜‚
Wachagga wapo na ndio wanaoishi jimbo linalowakilishwa na Mzee Kimei(Vunjo) ,hawa wengine kama Warombo,wamachame ambao ndugu zao ni wameru sio wachagga hawa
 
Mbowe anang'atuka anatamani kumuachia mikoba John Mrema wa Marangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
CCM inatawala nchi kwa sasa, Makada wake wapo bize mitandaoni kustawisha ubaguzi na uchawa.

Kisha tunaambiwa CCM ndiyo Ilani iliyoshinda.
 
Mbowe aachie chama ,.amehudumu kwa MdA mrefu sana
 
Zitto hapo anasema tutaelewana... Alianza yeye akaitwa masaliti, akaja slaa, akaja covid 19 now itakuwa lissu.
 
Yeye Lissu ,Anayoyafanya ana fadhiliwa na nani?
 
Ninapinga kuhusi Mbowe kutaka kugombea urais. Huo ni uongo. Mbowe hawezi kuacha maokoto ya bungeni akaenda kugombea urais ambao hawezi shinda. Hapo mtoe Mbowe. Kuhusu mambo ya rushwa ni kweli. CHADEMA ni chama kilichojaa rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…