Pre GE2025 Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti CHADEMA ni paka na panya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM inatawala nchi kwa sasa, Makada wake wapo bize mitandaoni kustawisha ubaguzi na uchawa.

Kisha tunaambiwa CCM ndiyo Ilani iliyoshinda.
Lema(binamu yake Mbowe) ,Mrema(kaoa kwa akina mbowe)na Mbowe wote ni wasemaji wa chama ,hapo unaonaje mkuu?
 
Lema(binamu yake Mbowe) ,Mrema(kaoa kwa akina mbowe)na Mbowe wote ni wasemaji wa chama ,hapo unaonaje mkuu?
Nasema acha upumbavu.
Elimu yetu ina shida
Mfumo wa kilimo ni holela
Katiba ya nchi haipewi heshima
Nishati ya shida kila uchao
Mfumuko wa bei
na kadhalika......


Hebu tuyatatue hayo kwanza, kwa sababu hao unaowataja hawaongezi wala kupunguza ugali mezani kwako
 
Kama wewe ni Try Again muda huu ulitakiwa uwe busy kumalizana na Kibu Denis.
 
CDM haijawahi kurudia mgombea Urais.

Lissu Yuko sawa, dhambi ukiificha Huwa inasambaa mithili ya cancer, ukiikemea wazi inakimbia.

CHADEMA Ina nguvu sasa kuliko wakati wowote.
 
Nonsense
 
kukemea rushwa ndiyo kazi yenyewe ya wanasiasa hata CVM hufanya hivyo
 
Acheni propaganda ya kuipasua CHADEMA, chama hicho kiko imara na hakina mpasuko. Mmekazana kukipondea propaganda chafu kwa kuwa mnaona ni kitisho kwa chama chenu kikongwe kilichoishiwa na sera za kujenga nchi. Mnajua uchaguzi ukiitishwa hata sasa chama chenu kitakwenda kupumzishwa makubusho ya taifa au kiwe chama cha upinzani
 
Hayo hayakwepeki. Changamoto ni lazima. Chadema waweke nguvu kwanza majimboni. Kwa suala la urais bila wawakilishi wa kutosha mjengoni ni ndoto.
 
Siku chache zijazo Lissu anafukuzwa chadema,wachaga wasikie tu hawataki masihala na taasisi yao
 
Tulitegemea tuwe na vyama mmbadala vyenye tija badala yake ndio unavyoona cdm imekuwa chaka la wachagga wasiokuwa na kazi za kufanya
 
Halafu wameyachagua yale mapunguani kabisa yasiyo na uwezo hata kusema uwongo wa kukaribia ukweli. Yanaropoka kiasi kwamba hata mwenye akili ndogo anajua ni uwongo.
sio waneyachagua ndo yaliyopo hayo 😁😁😁
 
Sawa.
 
Acheni tu, yaani wanabomoa nyumba wenyewe. Hii niliijua toka zamani, ilisubiri muda tu. Hakuna chama cha kikabila wala cha kidini kitatoboa Tanzania.
Hii ni kwa sababu watanzania wana IQ kubwa sana kuliko wanasiasa wenye shule zao na mapesa yao. Huwaiti watanzania kwenye maandamano wasiyoyajua madhumuni yake, ukafikiri watajaa kukufuata.
 
Umechelewa sana ,chadema ipo imara kuliko jana, izi propaganda za ukanda ,udini ni zilipendwa ,na hazikuwahi zaa matunda
 
Umechelewa sana ,chadema ipo imara kuliko jana, izi propaganda za ukanda ,udini ni zilipendwa ,na hazikuwahi zaa matunda
Maua yashatokeza na matunda yamemea, tunasubiri matunda yaive tu tuanze kuyatungua na kula chini ya kivuli cha mtu. Ahaaaa, we bado hujaamini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…