Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Wee nani amekuambia...Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu.
Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona.
"NiombeenI niwe Rais wa malaika"
Haya yanatokea Tanzania ipi? Mtu anakutishia kwa bastola au anakupiga panga mpaka unajeruhiwa hivi unamwachaje kwa mfano.CCM wanaichezea "AMANI" ya nchi yetu. Waliochukua "FORM" za kugombea upinzani wamepigwa mapanga. View attachment 1250561View attachment 1250562
Mkuu wa wilaya ya "HAI" ametaka kupiga mtu na "BASTOLA".