Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mwakilishi wa vyama rafiki vya CCM, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bukombe ameanza kwa kuwakushuru CCM kuwaalika maana waliomba makusudi waalikwe kwenye mkutano huo
anasema eti amekuja kuona utekelezaji wa Irani ya CCM na mbunge ametende kweli kweli na kwamba hana mashaka kabisa na Doto Biteko.. nafwaaaa

.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti huyu amasema kwenye nafasi ya mbunge hawana msahaka kabisa, CCM impitishe Doto Biteko bila kupingwa ile kwenye udiwani watapambana. Amesema hayo kwenye mkutano wa CCM mkoani Geita leo February 8, 2025 ambapo Jakaya Kikwete ni mgeni rasmi.
CCM bana, mnacheza michezo ile ile, kututia hasira tu watu tutokwe mapovu. Si mchukua hayo matawai yenu moja kwa moja tuelewe upinzani ni upi ili tuwakaushe vizuri?🌚🌚🌚
Mwakilishi wa vyama rafiki vya CCM, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bukombe ameanza kwa kuwakushuru CCM kuwaalika maana waliomba makusudi waalikwe kwenye mkutano huo

anasema eti amekuja kuona utekelezaji wa Irani ya CCM na mbunge ametende kweli kweli na kwamba hana mashaka kabisa na Doto Biteko.. nafwaaaa

.Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025