Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Bonyokwa atuhumiwa kuhifadhi wahalifu!

Kwa hiyo utaja majina yao 'siku si nyingi zijazo' wakati wakiendelea kuwaumiza Raia?
Sio uwataje mara moja wachukuliwe hatua haraka? Huna Hoja.
 
Raia mnashindwa vipi kuchukua sheria mkononi kabla hao vibaka hawajafika polisi?
 
Hili tatizo la wenyeviti wa mitaa kulinda wahalifu ni kubwa kuliko tunavyolitazama.Mitaa mingi ukienda utasikia malalamiko juu ya hao viongozi tatizo kuu hao watu wanakula nao ni kakitega uchumi wamebuni ili kujiongezea kipato.Ma OCDs na OCSs wanachafuliwa sana kwa kuwafumbia macho hawa viongozi ni vema ikiwa wataanza kuwachukulia hatua hawa wafadhili wao tatizo la vibaka litapungua sana kwa kujua hawana pa kushika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…