Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

Kati yako na unaemwambia hajui chchte kuhusu uwekezaji nani mburula zaidi? Usinijibu kabla ya kurudia kusoma ulichoandika
 
Binafsi nimeshangaa mtu kama Mo kulia lia kwenye mitandao. Ama kweli pesa sio kila kitu. Mo ana akili za kitoto na nimefikiria bila pesa za urithi asingeweza kusimama yeye kama Yeye.
Yaani we mwanamke una akili sana, maana niwachache wanaweza kutazama kwa jicho hilo. Huyu mnyaturu anapenda ready made
 
Nadhani anataka huruma ya washabiki na wapenzi wa simba, ili aweze kuwa na kuungwa mkono kisha apate upenyo zaidi
Ndiyo lengo lake haswaa, hajui nyuma ya mwenyekiti kuna serikali
 
Pale Simba kuna bodi ambayo wanatakiwa kujadiliana kila kitu kama kweli Mo amelalamika mitandaoni ni mpuuzi tena yeye ndiye anataka kuleta vurugu alitakiwa apambane ndani ya bodi na sio kutafuta huruma kwa wapenzi na wanachama ambao hatujui chochote
Kabsaa mkuu
 
Mo fala tu kama kuna kikwazo ukisema mtandaoni ndio migigoro inakwisha akitaka kwenda na aende wawekezaji wapo wengi timu aliikuta na ataicha asituzingue kabisa pumbavu zake
 
Mo fala tu kama kuna kikwazo ukisema mtandaoni ndio migigoro inakwisha akitaka kwenda na aende wawekezaji wapo wengi timu aliikuta na ataicha asituzingue kabisa pumbavu zake
Wewe shabiki wa yanga ya simba yanakuhusu nini...kama wawekezaji walo wengi nyie mmeshindwa nini kuwatafuta mpaka mnatembea na mabakuli kuombaomba
 
Nimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Mkuu bado siamini kama hii n comment yako!!
 
Mo fala tu kama kuna kikwazo ukisema mtandaoni ndio migigoro inakwisha akitaka kwenda na aende wawekezaji wapo wengi timu aliikuta na ataicha asituzingue kabisa pumbavu zake
Punguza hasira mkuu. Ila nimemvua nyota. Analeta taharuki kwa wachezaji na mashabiki bila sababu ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…