Mwenyekiti Taifa Bavicha Adv Mahinyila afafanua mbinu iliyotumika kutekwa kwa Aman Manengero

Mwenyekiti Taifa Bavicha Adv Mahinyila afafanua mbinu iliyotumika kutekwa kwa Aman Manengero

Nilisikia hili tukio nikadhni Masihara.

Advocte mahinyila anaeleza mbinu iliyotumika

View: https://youtu.be/OOctHcw01rc?si=noJ89nvoDPAn8nJ4

"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of Africans National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Acha upumbavu kidogo, watu wana discuss issue za maana.
Za maana gani! We majuzi mangi kakoswakoswq kutekwa na mabondia ili akapigwe mjengo, we unadhani kila anayetekwa ni siasa, Acha upumbavu.
 
Za maana gani! We majuzi mangi kakoswakoswq kutekwa na mabondia ili akapigwe mjengo, we unadhani kila anayetekwa ni siasa, Acha upumbavu.
Mmmm miaka yote wanaodaiwa madeni ni Chadema tu, na ndio pekee wanaouwawa na kutekwa kwa kutolipa hayo madeni !!!!!! ? Mkuu ubongo wako vipi. Wamekukosea nini hao marehemu. Au wewe ndiye Mtanzania mwenye haki ya kuishi zaidi yao.
 
Mbeya hukusikia kwa katibu wa ccm!!?au mibangi mnayovutishwa na machadema imekujaa kwenye hilo dude la duara hapo juu ya shingo, eti we mwenyewe unaliita kichwa!
 
Mbeya hukusikia kwa katibu wa ccm!!?au mibangi mnayovutishwa na machadema imekujaa kwenye hilo dude la duara hapo juu ya shingo, eti we mwenyewe unaliita kichwa!
Baada ya mauaji ya huyo katibu wa ccm, kuna watu walikamatwa. Je, ulisikia popote washukiwa kukamatwa kwa tuhuma za kuua au kudhuru au kupotezwa wapinzani ? Mpaka sasa hesabu ya wapinzani waliopotea au kuuwawa ni mamia. Matusi yako ni dalili ya ugonjwa wa akili na kushindwa hoja.
 
Mama Dullah moto unaomsubiri siyo wa kitoto, mwache anywe tu damu za wanachadema kwa sasa ila mwishowake utakuwa mchungu sana.
HUYU HAENDI KOKOTE AMESHASHTAKIWA KWA MUNGU AMBAKO HAWEZI KUKATA RUFAA MAANA HAJUI WATU WAMEMWAMBIA NINI MUNGU JUU YAKE NA BAHATI MBAYA SANA WAGAMGA NA WACHAWI WAKE HAWATAMSAIDIA KUZUIA KICHAPO CHA MUNGU. ATASHUGHULIKIWA HADI MASIKIO YETU YATAWASHWA
 
Back
Top Bottom