Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mama Dullah moto unaomsubiri siyo wa kitoto, mwache anywe tu damu za wanachadema kwa sasa ila mwishowake utakuwa mchungu sana.Hii Kadhia itaisha lini?
Mnoo
Ngoja nchi iwe kama MexicoHii Kadhia itaisha lini?
Nilisikia hili tukio nikadhni Masihara.
Advocte mahinyila anaeleza mbinu iliyotumika
View: https://youtu.be/OOctHcw01rc?si=noJ89nvoDPAn8nJ4
Lipeni madeni ya watu, acheni wake za watu, msitupigie kelele.Nilisikia hili tukio nikadhni Masihara.
Advocte mahinyila anaeleza mbinu iliyotumika
View: https://youtu.be/OOctHcw01rc?si=noJ89nvoDPAn8nJ4
Acha upumbavu kidogo, watu wana discuss issue za maana.Lipeni madeni ya watu, acheni wake za watu, msitupigie kelele.
Za maana gani! We majuzi mangi kakoswakoswq kutekwa na mabondia ili akapigwe mjengo, we unadhani kila anayetekwa ni siasa, Acha upumbavu.Acha upumbavu kidogo, watu wana discuss issue za maana.
Mmmm miaka yote wanaodaiwa madeni ni Chadema tu, na ndio pekee wanaouwawa na kutekwa kwa kutolipa hayo madeni !!!!!! ? Mkuu ubongo wako vipi. Wamekukosea nini hao marehemu. Au wewe ndiye Mtanzania mwenye haki ya kuishi zaidi yao.Za maana gani! We majuzi mangi kakoswakoswq kutekwa na mabondia ili akapigwe mjengo, we unadhani kila anayetekwa ni siasa, Acha upumbavu.
Mbeya hukusikia kwa katibu wa ccm!!?au mibangi mnayovutishwa na machadema imekujaa kwenye hilo dude la duara hapo juu ya shingo, eti we mwenyewe unaliita kichwa!Mmmm miaka yote wanaodaiwa madeni ni Chadema tu, na ndio pekee wanaouwawa na kutekwa kwa kutolipa hayo madeni !!!!!! ? Mkuu ubongo wako vipi. Wamekukosea nini hao marehemu. Au wewe ndiye Mtanzania mwenye haki ya kuishi zaidi yao.
Baada ya mauaji ya huyo katibu wa ccm, kuna watu walikamatwa. Je, ulisikia popote washukiwa kukamatwa kwa tuhuma za kuua au kudhuru au kupotezwa wapinzani ? Mpaka sasa hesabu ya wapinzani waliopotea au kuuwawa ni mamia. Matusi yako ni dalili ya ugonjwa wa akili na kushindwa hoja.Mbeya hukusikia kwa katibu wa ccm!!?au mibangi mnayovutishwa na machadema imekujaa kwenye hilo dude la duara hapo juu ya shingo, eti we mwenyewe unaliita kichwa!
Mlisema Lisu akiwa mwenyekiti hakunaatakayetekwa na waliotekwa mtawarudishaNilisikia hili tukio nikadhni Masihara.
Advocte mahinyila anaeleza mbinu iliyotumika
View: https://youtu.be/OOctHcw01rc?si=noJ89nvoDPAn8nJ4
Ujinga ni mzigoMlisema Lisu akiwa mwenyekiti hakunaatakayetekwa na waliotekwa mtawarudisha
HUYU HAENDI KOKOTE AMESHASHTAKIWA KWA MUNGU AMBAKO HAWEZI KUKATA RUFAA MAANA HAJUI WATU WAMEMWAMBIA NINI MUNGU JUU YAKE NA BAHATI MBAYA SANA WAGAMGA NA WACHAWI WAKE HAWATAMSAIDIA KUZUIA KICHAPO CHA MUNGU. ATASHUGHULIKIWA HADI MASIKIO YETU YATAWASHWAMama Dullah moto unaomsubiri siyo wa kitoto, mwache anywe tu damu za wanachadema kwa sasa ila mwishowake utakuwa mchungu sana.