Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kama kuna mistake ambayo kama mwenyekiti wa chama hawezi kuifanya,
Kwa mfano, wa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema, ngazi ya taifa ni kwamba, kamwe haitatokea, wala hata thubutu kuifanya akiwa kiongozi mwenye dhamana na mamlaka Chadema, kwamba eti aachie uenyekiti wa chama mikononi mwa intruder yeyote yule, kwa mfano makamu mwenyekiti wa sasa...
That one will never happen with my dead body. hatafanya hivyo, atazuia hilo lisitokee akiwa ndani au nje ya chama chake.
Atakabidhi chama kwa mawanachama mwingine asie na chembe ya mashaka juu ya uzalendo na utii kwa mamlaka za chama na viongozi waandamizi, wanachama na chama kwa ujumla....
Hata hivyo, ukimtazama tu facial expressions yake, body language yake na tone yake ya kimamlaka, yule chairman ni mtu wa kutishwa tishwa kweli au ni mtua wa kumuachia uenyekiti mtu mwingine hivi karibuni kweli?🐒
Hiyo si ndoto ya mchana my friend, kwamba eti kuna muungwana mahali anafikiria na anatarajia hilo kutokea 🐒