Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,
Akiwa anaongea kabla ya mafunzo kwa waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki huko Tanga, Mwenyekiti wa Tume Huru ya UchaguziJaji Rufaa Jacobs Mwambegele amewahasa waendesha vifaa hivyo kuwahudumia ka upole na umyemyekevu wakati zoezi hilo likiendelea