Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kumbe suala la kuweka alama lilikuwa kweli bwana.
Mwenyekiti wa Uchaguzi CHADEMA Frank Mwakajoka amesema amepokea kikaratasi chenye ujumbe kilichokuwa na mapendekezo ili kunyoosha zoezi la uchaguzi liende vizuri.
Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Ambapo amegusia suala la watu kupiga kura huku wakipiga picha karatasi kama ushahidi, ambapo ametoa pendekezo la wajumbe kutokuwa na simu (kuziacha pembeni au kuwe na sehemu za kuweka) wakati wakienda kupiga kura ili kuzuia kupiga picha kura zao.
Pia ameongeza kura yoyote itakayokuwa na alama ya maandishi ama alama yoyote ile kura hiyo iwe imeharibika.
Mnyika amesema acha wagombea wajinadi halafu ukifika wakati wa kupiga kura hili litaamuliwa.
Je, itakuwa hivyo au ndio itabrashiwa wajumbe wafanye yao?