Mwenyekiti wa Uchaguzi CHADEMA Frank Mwakajoka amesema amepokea kikaratasi chenye ujumbe kilichokuwa na mapendekezo ili kunyoosha zoezi la uchaguzi liende vizuri.
Ambapo amegusia suala la watu kupiga kura huku wakipiga picha karatasi kama ushahidi, ambapo ametoa pendekezo la wajumbe kutokuwa na simu (kuziacha pembeni au kuwe na sehemu za kuweka) wakati wakienda kupiga kura ili kuzuia kupiga picha kura zao.
Pia ameongeza kura yoyote itakayokuwa na alama ya maandishi ama alama yoyote ile kura hiyo iwe imeharibika.
Mnyika amesema acha wagombea wajinadi halafu ukifika wakati wa kupiga kura hili litaamuliwa.
Je, itakuwa hivyo au ndio itabrashiwa wajumbe wafanye yao?
Mwenyekiti wa Uchaguzi CHADEMA amesema amepokea kikaratasi chenye ujumbe kilichokuwa na mapendekezo ili kunyoosha zoezi la uchaguzi liende vizuri.
Ambapo amegusia suala la watu kupiga kura huku wakipiga picha karatasi kama ushahidi, ambapo ametoa pendekezo la wajumbe kutokuwa na simu (kuziacha pembeni au kuwe na sehemu za kuweka) wakati wakienda kupiga kura ili kuzuia kupiga picha kura zao.
Pia ameongeza kura yoyote itakayokuwa na alama ya maandishi ama alama yoyote ile kura hiyo iwe imeharibika.
Ila hiyo ya kuweka alama sijui itakuwaje. Ni kwamba wapiga kura wanaondoka na kura yao ili wakathibitishe kuwa walimpigia Mbowe? Au zitakusanywa na kila mgombea atakabidhiwa kura zake? Haya mambo mengine kwa kweli yanasikitisha.
Televisheni za Tanzania zinatukosea sana aisee.
Pamoja na ukubwa wa hili tukio la leo hakuna hata kituo kimoja cha televisheni ambacho kinarusha hili tukio.
Hii nchi ni nchi ya ovyo sana.
Na akisha weka alama anaondoka na kura yake kwenda kumuonyesha mshika fedha wa Mbowe? Au kura zikishapigwa, kila mgombea atakabidhiwa kura zake? Naomba nielimishe hiyo alama itatumika vipi ?