Haya tukale ubwabwa 🤣😎😎
Nini tena mkuu ubwabwa wa sikukuu umeongezekaDuuh?!
Oy tupo msibani mkuu mboni unaichekesha maiti?Nini tena mkuu ubwabwa wa sikukuu umeongezeka
Mkuu maiti za majambazi ya mbogamboga hazijui kucheka 🤣🤣🤣Oy tupo msibani mkuu mboni unaichekesha maiti?
Kifo ni kifo tu, mwendo ni uleule.
Unajaribu kuifanya maiti itabasamu are you serious?Mkuu maiti za majambazi ya mbogamboga hazijui kucheka 🤣🤣🤣
Acha icheke maana haijui huko iendako kama ni kwemaUnajaribu kuifanya maiti itabasamu are you serious?
Death is desth onlyKifo ni kifo tu, mwendo ni uleule.