Pre GE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Wapinzani wanatetemeka. Tunaenda kwenye uchaguzi, nyie jiandaeni. Asiwatishe mtu!

Pre GE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Wapinzani wanatetemeka. Tunaenda kwenye uchaguzi, nyie jiandaeni. Asiwatishe mtu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Yaani hii sera ya No Reforms No Elections inaonekana inawatesa sana hawa CCM.

Huyu ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Geita. Hapa alikuwa anazungumza kuhusu kaulimbiu ya CHADEMA ya No Reforms No Elections.

Lissu piga hapo hapo!

Wapinzani wanatetemeka. Ndio maana No Reforms No Election. No Reform? Tunaenda kwenye Uchaguzi. Mjiandae kwa Uchaguzi. Asiwatishe mtu

=================================================


Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita umewaonya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakijipitisha katika Majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Geita na kutoa vitisho vya kuwatisha vijana kutoshiriki katika kugombea nafasi mbalimbali kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 kuacha mara moja.






Source: Kitenge TV
 
Kutumia tuzo za comedy mgeni rasmi raisi.
Alafu trump kuzuia misaada mnaenda kulalamika bungeni kuwa wazungu wachoyo.
 
Back
Top Bottom