Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Makubwa haya! Wameenda kumnong'oneza sikioni au?
====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa qa Songwe Bi Fatuma Mnahwate amesema ameongea na Wenyeviti wa Vijana wa Vyama vyote Vya Upinzani nchini ikiwemo kutoka ACT na BAVICHA na wamepinga kauli iliyotolewa na viongozi wao wakuu wa Chama Hicho.
Bi Fatuma amesema Viongozi hao wamesema kuwa, Nchi hii inaongozwa kwa Mujibu wa sheria, kanuni na taratibu kama kuna mapungufu yoyote ambayo viongozi wao wa kitaifa wameyaona kuna utaratibu maalum wa kisheria wa kuyashughulikia mapungufu hao na sio kuzuia uchaguzi usifanyike.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kauli hiyo imetolewa tarehe 22 Februari, 2025, katika Mji wa Tunduma na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe Fatuma Mnahwate wakati akitoa salamu za vijana kwenye ziara ya Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa.
Ambapo alieleza kuwa, Amekuwa akiwasiliana kwa karibu na Viongozi wa vijana wa vyama vyote, ambapo wamemtuma salam hizo Ili zimfikie Mhe Rais na Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia Suluhu Hassan kwani wao pia wamekiwa wakiwashangaa viongozi wao wa kitaifa.