Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Feb 23, 2025 #21 MamaSamia2025 said: Hakuna mwanaCHADEMA mzalendo atakubali kusapoti kauli ya kichochezi ya Lissu. Click to expand... Kuna uchochezi zaidi ya matendo ya CCM kuiba uchaguzi na kuengua wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi?
MamaSamia2025 said: Hakuna mwanaCHADEMA mzalendo atakubali kusapoti kauli ya kichochezi ya Lissu. Click to expand... Kuna uchochezi zaidi ya matendo ya CCM kuiba uchaguzi na kuengua wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi?