Mwenyekiti UVCCM: Waliohamasisha kuandamana wanatumia misiba ya watu kufanyia siasa

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Anaandika Mohamed Kawaida kupitia Ukurasa wake wa Instagram

Waliohamasisha kuandamana wao hawakuonekana kwenye maandamano, sasa hivi wanatumia misiba ya watu waliowatoa muhanga kufanyia siasa na kupandikiza chuki. Tunahitaji kuacha kutumika kama zana za kisiasa na badala yake tuungane kama Taifa



=========================
Aliye karibu na Mohamed Kawaida amfikishie ujumbe huu:

Comrade maandamanooo hayakuhamasishwa bali wananchi tuliamua kuandamana kwasababu nchi ni yetu na tuna haki ya kusikilizwa kama vitu haviendi Sawa, na sio kila alieandamana alifariki... Tupo tulioandamana na tumesalimika kwahiyo swala la ku record videos tumefanya wenyewe wananchiiiii baada ya kuona askari wetu wanaua ndugu zetu bila hatia wala huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…