Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Lissu HAJAWAHI kutoa msaada hata wa kiwembe katika maisha yake!Hiyo printer ni level ya mkiti wa tawi,ccm mmefikia mwisho
TAL amewasaidia wananchi wengi sana kisheria kuliko ccm wote kwa pamojaLissu HAJAWAHI kutoa msaada hata wa kiwembe katika maisha yake!
UWT MNAkaziLissu HAJAWAHI kutoa msaada hata wa kiwembe katika maisha yake!
Kwanza ni aibu na ushenzi umealikwa unaenda kuahidi Printer ya lakini 4Hiyo printer ni level ya mkiti wa tawi,ccm mmefikia mwisho
Kwani mbunge anakusanya mapato? hilo eneo RC/RAS/DC/DAS/DED/Mwenyekiti wa council kazi yao nini?Mbunge wa jimbo hilo ni basi tu hakuna anachokifanya
Mkuu mimi Nimeona hilo jina la jimbo letu nikamkubuka mbunge wetu na nimeshamletea uzi humu hatufaiKwani mbunge anakusanya mapato? hilo eneo RC/RAS/DC/DAS/DED/Mwenyekiti wa council kazi yao nini?
Ccm ni wale wale awe diwani hadi waziri hao ma rc dc wote ccm waleKwani mbunge anakusanya mapato? hilo eneo RC/RAS/DC/DAS/DED/Mwenyekiti wa council kazi yao nini?
Yes ni matapeli tupuCcm ni wale wale awe diwani hadi waziri hao ma rc dc wote ccm wale
Ni kweli hata mchango wa tonetone Lisu hajachangia hata miaLissu HAJAWAHI kutoa msaada hata wa kiwembe katika maisha yake!
Tunakosea sana kudhani kuchangia ni mpaka pesa... ndio maana tupo hapa tulipo, mfano huyu anaweza akatoa michango ya pesa au hata hio printer kumbe, anakula tu pesa ya jamii na kuchangia makombo wakati mwingine anaweza kujitoa maradufu...Ni kweli hata mchango wa tonetone Lisu hajachangia hata mia
What is printer? Nayo ni story? Masikini Tanzania inawajinga wengi kiasi hiki kumbeImeelezwa kuwa Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo Uchakavu wa Majengo , Upungufu wa walimu pamoja na Upungufu wa vifaa vya kutumia ikiwemo Photocopy Machine pamoja na Kompyuta.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa shule ya Sekondari Nyang’hwale Mwl. Zabron Selemani wakati akisoma risala kwa Mgeni rasmi katika Mahafali ya kwanza ya kidato cha sita ambapo ameomba kufanikisha uhitaji huo kwenye shule sambamba na kufanikisha upatikanaji wa maji ambapo eneo hilo maji yamekuwa ni ya kusua sua.
Soma, Pia: UWT Lindi wamshukuru Rais Samia kwa ujenzi wa Shule ya TSh. Bilioni 4.1
Kwa upande wake Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi wanawake (UWT) Mkoa wa Geita Bi. Laulencia Bukwimba amewataka vijana wanaotarajia kuhitimu Kidato cha sita kuachana na Mambo yasiyo faa badala yake wawekeze katika Elimu.