Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Ni wazi kuwa kwa sasa huyu CHADEMA imeanza kazi rasmi ya kuwapopoa CCM na hii ni baada ya Mahinyila leo kumuwashia moto Wassira
==========================
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Berege wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma amemuuliza Stephen Wazira kuhusu wapi alipo Deusdedith Soka.
Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bara) ukitaka vijana tukuelewe zungumza tatizo la ajira kwa vijana wa taifa hili, zungumza tatizo la ajira kwa vijana ambao wanasomeshwa kwa kodi za Watanzania wanamaliza vyuo hawana kazi, zipo digrii zinaendesha bodaboda halafu mnawakejeli kuwaita maafisa usafirishaji.
Mzee Wasira tupo kwenye Taifa ambalo vijana hawana uhakika kwamba kesho wataamka salama, Mzee Wasira tuambie soka yuko wapi?"