Mwenyekiti wa bodi ya KQ akiri kwamba JKIA ni hovyo sana

IndiGo, Jet Airways, SpiceJet's haya ni mashirika ya serikali?

Unaweza kunitajia sababu zilizofanya hayo mashirika kusuasua zenye uhusiano wa moja kwa moja kwa ni sababu yanamilikiwa na serikali?
 
Oy video hii mbona imeondolewa YouTube au ni Simu yangu inazingua
 
Oy video hii mbona imeondolewa YouTube au ni Simu yangu inazingua
Nadhani wamepigwa biti wakaambiwa waitoe haraka iwezekanavyo maana sijaona copyright claim yoyote humo ya kusababisha Youtube waifute. 😂😂😂
 
Tambua atcl na serikali ni vitu viwili tofauti, sasa sijui unamaanisha nn serikali kujiingiza, serikali si imewakopesha ndege tu, na washaanza kulipa.
Huelewi hata nilichoandika. Hebu soma vizuri halafu ufanye utafiti kidogo. Achana na mambo ya kijumla, siasa na dhana zisizo na tija kwa jamii.
 
IndiGo, Jet Airways, SpiceJet's haya ni mashirika ya serikali?

Unaweza kunitajia sababu zilizofanya hayo mashirika kusuasua zenye uhusiano wa moja kwa moja kwa ni sababu yanamilikiwa na serikali?
Usitake kulishwa, hebu fanya utafiti kwanza ndiyo tuweze kujadili tukiwa na uelewa sawa kwenye mambo haya.
 
Sikiliza kwa makini, amesema Tanzania imejenga uwanja mpya wa ndege na kufufua shirika lao, au hujasikia?
Kenya Airways is marking its one year anniversary of direct flights to the US where over 105,000 passengers travelled using the airline during the period.alafu unalinganisha Kenya airways na ATCL 🤣🤣🤣....you still have a long way to go kujilinganisha na KQ.
 
Alafu JKIA is not just an international airport it's a regional hub for Aviation msilinganishe JKIA na vitu vya kijinga .
 
Hili ni pigo jingine kwa wakenya...
 
Hahahaha, CEO na Mwenyekiti wa body wa KQ wanasema KQ na JKIA ni hovyo na zitaendelea kuporomoka kutokana na ujinga wa wakenya na kuendeleza siasa, wewe unayebisha ni nani?. Hata hiyo " route ya New York" ilianzishwa kwasababu za kisiasa, ndio sababu inaendelea kutengeneza hasara. Sikiliza vizuri hayo mazungumzo, acha ushabiki wa kijinga.
 
Alafu JKIA is not just an international airport it's a regional hub for Aviation msilinganishe JKIA na vitu vya kijinga .
That is according to Jubilee sycophants like you, but according to those two guys, CEO and board chairman, JKIA and KQ are lunatic companies, very dubious with no future.
 
Bwahahaaaa!!alisema wapi km hyo route inatengeneza hasara..wivu mbaya jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
That is according to Jubilee sycophants like you, but according to those two guys, CEO and board chairman, JKIA and KQ are lunatic companies, very dubious with no future.
Tukuletee data[emoji23][emoji115]
 
Usitake kulishwa, hebu fanya utafiti kwanza ndiyo tuweze kujadili tukiwa na uelewa sawa kwenye mambo haya.
Hakuna kipya cha kutafiti kwenye hilo, biashara ya ndege ni kama biashara nyingine yoyote, gharama za uendeshaji company zikiwa juu zaidi ya mapato ya company lazima shirika life haijalishi mwenye mtaji ni serikali wala mtu binafsi (tena private ndio litakufa kwa kasi ya mwanga bora la serikali litapewa ruzuku na kusamehewa kodi na ada zingine za kiserikali) kwa hiyo hoja yako bado haina mantiki.
 
Unachanya Mada unazungumzia KQ ama unacompare JKIA na JNIA ??
 
Leo hii umemsikizia mbeberu….Takataka ya Jangwani hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…