Nimejaribu kuweka baadhi ya wachangiaji ambao mwenyekiti kawakata muda wao na wengine kuongezewa. Ushauri wangu kwa mwenyekiyi ni vizuri kutumia haki pasipo kubagua baadhi ya wajumbe. Labda kama mjumbe mwenyewe ataamua kuachia muda wake
1. Lusinde katumia dakika 10:36 kazidisha muda
2. Wenje katumia dakika 08:59 na kuambiwa dakika zimeisha
3. Mponda katumia dakika 08:33 alimalizia mwenyewe
4. Mbatia katumia dakika 08:33 kamalizia baada ya kuambiwa bado dk 1
5. Chenge katumia dakika 11:56 kazidisha muda