Mwenyekiti wa Bunge la Katiba - Samwel Sita Aanza Kazi Rasmi Leo

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba - Samwel Sita Aanza Kazi Rasmi Leo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Muheshimiwa Samwel Sita ambaye ndiye mwenyekiti wa bunge la katiba leo kaanza kazi rasmi na ameshakaa kwenye kiti baada ya kuachiwa na aliyekua mwenyekiti wa muda ndugu Ameir Pandu Kificho kumwaachia kiti.

Souce: TBC 1 Live:
 
Kiti kimepata mkaliaji. Ila hii kuapa ya kuapa mmoja mmoja itachukua muda kweli kweli. Kwa nini hawakuapa kwa makundi? Ni mawazo!
 
Kiti kimepata mkaliaji. Ila hii kuapa ya kuapa mmoja mmoja itachukua muda kweli kweli. Kwa nini hawakuapa kwa makundi? Ni mawazo!

Bila shaka utaratibu huu wa kuapa mmoja mmoja ni mbinu ya kuchelewesha muda na kuongeza siku ili kuzidi kukamua zaidi kodi zetu.
 
Mungu ampe HEKIMA, busara na weledi wa kuamua na kuendesha mambo katika Bunge Maalum la Katiba Kwa utashi na matakwa ya wana wa nchi hii. Amen.
 
Back
Top Bottom