Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,299 Mar 14, 2014 #1 Muheshimiwa Samwel Sita ambaye ndiye mwenyekiti wa bunge la katiba leo kaanza kazi rasmi na ameshakaa kwenye kiti baada ya kuachiwa na aliyekua mwenyekiti wa muda ndugu Ameir Pandu Kificho kumwaachia kiti. Souce: TBC 1 Live:
Muheshimiwa Samwel Sita ambaye ndiye mwenyekiti wa bunge la katiba leo kaanza kazi rasmi na ameshakaa kwenye kiti baada ya kuachiwa na aliyekua mwenyekiti wa muda ndugu Ameir Pandu Kificho kumwaachia kiti. Souce: TBC 1 Live:
K kasinge JF-Expert Member Joined May 22, 2011 Posts 1,259 Reaction score 319 Mar 14, 2014 #2 Kiti kimepata mkaliaji. Ila hii kuapa ya kuapa mmoja mmoja itachukua muda kweli kweli. Kwa nini hawakuapa kwa makundi? Ni mawazo!
Kiti kimepata mkaliaji. Ila hii kuapa ya kuapa mmoja mmoja itachukua muda kweli kweli. Kwa nini hawakuapa kwa makundi? Ni mawazo!
Chabruma JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 5,660 Reaction score 1,780 Mar 14, 2014 #3 Uapishaji unaendelea
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,633 Mar 14, 2014 #4 kasinge said: Kiti kimepata mkaliaji. Ila hii kuapa ya kuapa mmoja mmoja itachukua muda kweli kweli. Kwa nini hawakuapa kwa makundi? Ni mawazo! Click to expand... Bila shaka utaratibu huu wa kuapa mmoja mmoja ni mbinu ya kuchelewesha muda na kuongeza siku ili kuzidi kukamua zaidi kodi zetu.
kasinge said: Kiti kimepata mkaliaji. Ila hii kuapa ya kuapa mmoja mmoja itachukua muda kweli kweli. Kwa nini hawakuapa kwa makundi? Ni mawazo! Click to expand... Bila shaka utaratibu huu wa kuapa mmoja mmoja ni mbinu ya kuchelewesha muda na kuongeza siku ili kuzidi kukamua zaidi kodi zetu.
masatujr1985 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 1,980 Reaction score 784 Mar 14, 2014 #5 Mungu ampe HEKIMA, busara na weledi wa kuamua na kuendesha mambo katika Bunge Maalum la Katiba Kwa utashi na matakwa ya wana wa nchi hii. Amen.
Mungu ampe HEKIMA, busara na weledi wa kuamua na kuendesha mambo katika Bunge Maalum la Katiba Kwa utashi na matakwa ya wana wa nchi hii. Amen.