FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Apr 1, 2010 #21 Bila ubishi hawa watakuwa ni wapinzani na wasioipenda CCJ wanajua kuna mabadiriko yanakuja ..hivyo wanatafuta kila namna ya kupanga mashambulizi
Bila ubishi hawa watakuwa ni wapinzani na wasioipenda CCJ wanajua kuna mabadiriko yanakuja ..hivyo wanatafuta kila namna ya kupanga mashambulizi
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Apr 1, 2010 #22 Huyu Mwenyekiti msimshangae jamani alikuwa anatembea kwenye JAMII yake. Na hiyo ndiyo JAMII yake. Mimi nampongeza,
Huyu Mwenyekiti msimshangae jamani alikuwa anatembea kwenye JAMII yake. Na hiyo ndiyo JAMII yake. Mimi nampongeza,
M Mchili JF-Expert Member Joined Aug 19, 2009 Posts 725 Reaction score 48 Apr 1, 2010 #23 Mw/kiti, Be careful wewe ni mheshimiwa sasa hivi na umeshawapiga wenzio za uso kwa hiyo suala la usalama kuwa hatarini sio ajabu. Viongozi wote wa kitaifa wana maadui na ndio maana wanakua na system ya ulinzi. CCJ wanatakiwa wakupatie ulinzi.
Mw/kiti, Be careful wewe ni mheshimiwa sasa hivi na umeshawapiga wenzio za uso kwa hiyo suala la usalama kuwa hatarini sio ajabu. Viongozi wote wa kitaifa wana maadui na ndio maana wanakua na system ya ulinzi. CCJ wanatakiwa wakupatie ulinzi.
B Bibi Ntilie JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 245 Reaction score 8 Apr 9, 2010 #24 Pole Mr. Chairman! We learn through mistakes. Sidhani kwamba next time anaweza kuvamiwa kirahisi!