Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
TUpepo ulibadilika siku ya jtano baada wafuasi wa MISSO kuanza kuimba ccm ccm ccm,Hapo kila kiti kikabadilika,wanachuo hapo wakakutaka kampeni za vyama kutawala pale chuo.Upande wa KIDELA baada ya kusikia tambo za ccm,Hikawa kete takatifu wakajibu CHADEMA CHADEMA.Jahazi la misso likaaza kuzama na kubakiwa na wanachuo wasichama wakimuunga mkono.
hupo sawa mkuu hila inapofikia watu wakatumia mwanya wa vyama kusaka ushindi,Tatizo linalojitokeza chuoni ni viongozi wa matawi chuoni kuona kuwa wao ndo wenye mamlaka y kuongoza nafasi ya urais.Sasa na wale waopenda mlengo wa kushoto wametafuta pakukimbiliaIf that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.
Mwenyekiti wa tawi la ccm CHUO CHA BIASHARA- CBE DSM Ndg MISSO ameshindwa nafasi ya urais aliyokuwa inawaniwa na kijana mpambanaji Ndg KIDELA. Wiki nzima iliyokuwa imejaa mbwembwe pale chuoni iliitiimishwa jana kwa upigaji wakula.Na kijana wa CDM kuibuka mshindi.
t
uwekee data mkuu, ni mhimu kwa kumbukumbu huko mbeleni!
If that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.
If that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.
If that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.
Kwanachuo wanasema kidera ni mpiganaji,kwa sela na vitendo.haja ya vyama imeibuka hatua za mwisho.azikuwa sera za wagombea.Ujuwe kuwa tayari MISSO alikuwa mwenyekiti wa tawi CCM PALE CBE,kwamaana hiyo wanaccm walimpendekeza Misso Kwa maana hiyo wakupingana naye tena SIYO MWANACCM ni chama tofauti.Japo wote wanatoka mkoa mmoja wa Mara.Je mtoa mada unataka kutueleza Kidela ameshinda kwa hoja ya kuwa mwanachedema au kwa kuuza sera za atavyoweza kusisimamia haki za wanafunzi? Tupe ufafanuzi wa kina
mwanachuo anakatazwa kushiriki siasa ki vipi wakati urais wa chuo nao ni cheo cha kisiasa ..........If that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.
Pia kwa ali ya sasa maisha yamekuwa taiti kama kunaushindani uongozi mkuu CCM aina mvuto,Mfano UDOM uchanguzi umekuwa wa vurungu kwa kutotaka wapenzi wa CDM kuongoza pale,UDSM aliyeshinda urais alikuwa CDM baada ya kushinda yasemekana kapewa chochote ka kurudi CCM HAPO HUPOJe mtoa mada unataka kutueleza Kidela ameshinda kwa hoja ya kuwa mwanachedema au kwa kuuza sera za atavyoweza kusisimamia haki za wanafunzi? Tupe ufafanuzi wa kina
kidera 1240 na misso 1030hivi siku hizi ruksa kusema mi niko ccm au cdm au chama fulani vyuoni? Kama ni hivyo, congratulation mr president elect.
Hope hutawaangusha wenzako! Tunaomba utuwekee na data kamili, kashinda kwa ngapi?
Vipi ma - vx au landcruiser kutoka kwenye magamba hazikuwa zinaleta mzigo wa kutosha kuwalewesha wanafunzi?
kwa hiyo chadema inamamluki wengi sana eeeh! Ni rahisi kuwanunua!pia kwa ali ya sasa maisha yamekuwa taiti kama kunaushindani uongozi mkuu ccm aina mvuto,mfano udom uchanguzi umekuwa wa vurungu kwa kutotaka wapenzi wa cdm kuongoza pale,udsm aliyeshinda urais alikuwa cdm baada ya kushinda yasemekana kapewa chochote ka kurudi ccm hapo hupo
Mkuu hapa dhama za ccm vyuoni zimekusha.wanachuo wanaingia na mlengo wao.kwa hiyo chachu ya mageuzi inatoka vyuoni.Ndomaana vyuo vilifungwa wakati wa kampeni za uchanguzi ? swali?why?kwa hiyo chadema inamamluki wengi sana eeeh! Ni rahisi kuwanunua!