Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Breaking News: Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi kimesema majina ya uteuzi wa udiwani yametolewa na kwamba aliye shinda kura za maoni ndiye aliyeteuliwa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Katavi Nd Alfred Beda Katani alipo kuwa akizungumza kwa njia ya simu na Mpanda radio FM kupitia kipindi cha Kumekucha Tanzania asubuhi ya Leo.