Jinsi rushwa ilivyotapakaa, jinsi ambavyo iko wazi kwamba hata walio ngazi za juu ni kwa sababu ya rushwa ndivyo ambavyo ni ngumu sana kusema mtu anaweza tokea wa tatu au wanne halafu ateuliwe yeye na kumuacha wa kwanza eti kisa katoa rushwa.
Mule wote ni wachafu kwa hiyo ni ngumu mchafu mmoja kumchukulia hatua mchafu mwengine.