Mwenyekiti wa CCM Manyoni anadaiwa kuchangisha Wanachama wenzake kinyume cha taratibu

Mchumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
280
Reaction score
262
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Bwana Jumanne Makhanga analalamikiwa na wananchi ambao ni wanachama hai wa CCM Wilaya ya Manyoni kwa kuchangisha pesa zisizo na tija.

Mwenyekiti huyo kwa mwaka jana pekee amechangisha pesa kwa wanachama wote kwa kila Mwanachama kutoa Shilling mia tano kwa kila kichwa.

Wenyeviti wa vijiji wote tisini na sita (96) kila mmoja alitoa kiasi cha Shilling Laki moja (100,000) pamoja na wale wa mamlaka ya mji mdogo kitu ambacho ni kinyume na taratibu za kiofisi ,

Mwenyekiti huyo ambae anafahamika kwa jina la Jumanne Makhanga aliendelea kuchangisha fedha kiasi cha Shilingi laki moja na sitini (160,000/=) kwa Madiwani wote wa viti maalumu wanaotokana na wilaya hiyo.

Bado aliendelea kuchangisha fedha kutoka kwa wakuu wa idara pamoja na baadhi ya wafanyabiashara wilayani hapo kinyume na taratibu na matakwa ya chama cha Mapinduzi (CCM) ,

April 2024 bwana Jumanne aliendelea kuchangisha ng'ombe mmoja kwa kila kata ya wilaya hiyo kinyume cha taratibu za chama hicho. Amekuwa mungu mtu kwa wilaya ya Manyoni

Bwana Jumanne Makhanga ambae ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya manyoni amekosa uadilifu wa kuendelea kutumikia nafasi hiyo kwasababu amekua anakusanya michango ambayo ipo kwa ajili ya maslahi yake na siyo chama cha Mapinduzi (CCM)

Wana Manyoni ambao ni wanachama wa CCM wanaomba ufuatiliaji wa jambo hilj haraka sana kutoka kwa Kiongozi huyu ambae amekuwa mwiba mchungu kwao na walio wengi wanawaza kuachana na chama hicho kwasababu ya mtu huyu.

Kwa kumnukuu katibu Mkuu wa CCM ndugu Balozi Dr Nchimbi alisema mtu mmoja akifanya jambo la kijinga anakuwa mjinga yeye ila siyo wanachama wote. Kwa kauli hii itoshe kusema huu ni wizi wake kama Mwenyekiti kwa namna nzuri ya kunasua chama lazima huyo mtu akemewe na alaaniwe. Isibaki kuwa wimbo wa nani atamfunga paka kengele.

CCM NI SIKIVU...
CCM NI CHAMA DUME
CCM INA VIONGOZI MAKINI

JUMANNE MAKHANGA ANAICHAFUA MANYONI ANA ANAWAKWAZA WANA CCM WA MANYONI.
 
Mafisiem yanatafunana
 
𝑻𝒂𝒂𝒓𝒊𝒇𝒂 𝒉𝒊𝒛𝒊 𝒛𝒊𝒑𝒖𝒖𝒛𝒘𝒆 𝒛𝒊𝒎𝒆𝒍𝒆𝒏𝒈𝒂 𝒌𝒖𝒎𝒄𝒉𝒂𝒇𝒖𝒂 𝒌𝒊𝒐𝒏𝒈𝒐𝒛𝒊 𝒘𝒂 𝑪𝒄𝒎 (𝑾) 𝒍𝒂𝒌𝒊𝒏𝒊 𝒑𝒊𝒂 𝒛𝒊𝒏𝒂𝒓𝒂𝒕𝒊𝒃𝒊𝒘𝒂 𝒏𝒂 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒉𝒊 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒔𝒊𝒐𝒑𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒎𝒂𝒆𝒏𝒅𝒆𝒍𝒆𝒐 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒎𝒂 𝒄𝒉𝒂 𝒎𝒂𝒑𝒊𝒏𝒅𝒖𝒛𝒊,

𝒍𝒂𝒌𝒊𝒏𝒊 𝒑𝒊𝒂 𝒛𝒊𝒎𝒆𝒍𝒆𝒏𝒈𝒂 𝒌𝒖𝒎𝒏𝒚𝒐𝒏𝒈'𝒐𝒏𝒚𝒆𝒔𝒉𝒂 𝑴𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆𝒌𝒊𝒕𝒊 𝒊𝒍𝒊 𝒂𝒔𝒊𝒆𝒏𝒅𝒆𝒍𝒆𝒆 𝒏𝒂 𝒌𝒂𝒔𝒊 𝒚𝒂𝒌𝒆 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒌𝒊𝒊𝒎𝒂𝒍𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒎𝒂 𝒌𝒊𝒖𝒄𝒉𝒖𝒎𝒊,

𝑷𝒊𝒂 𝒏𝒂𝒐𝒎𝒃𝒂 𝒌𝒊𝒍𝒂 𝒎𝒎𝒐𝒋𝒂 𝒂𝒇𝒂𝒉𝒂𝒎𝒖 𝒌𝒘𝒂𝒎𝒃𝒂 𝒉𝒂𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒎𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒐 𝒘𝒐𝒘𝒐𝒕𝒆 𝒂𝒎𝒃𝒂𝒐 𝒖𝒎𝒆𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒊𝒔𝒉𝒘𝒂 𝒃𝒊𝒍𝒂 𝒓𝒊𝒅𝒉𝒂𝒂 𝒚𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂𝒕𝒊 𝒚𝒂 𝒔𝒊𝒂𝒔𝒂 𝒚𝒂 𝒘𝒊𝒍𝒂𝒚𝒂 𝒉𝒊𝒗𝒚𝒐 𝒌𝒂𝒖𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒔𝒆𝒎𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒎𝒃𝒂 𝑴𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆𝒌𝒊𝒕𝒊 𝒂𝒏𝒂𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒂𝒎𝒖𝒛𝒊 𝒚𝒂𝒌𝒆 𝒔𝒊𝒚𝒐 𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊 𝒏𝒊 𝒖𝒄𝒉𝒐𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊𝒔𝒉𝒊 𝒘𝒂 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒉𝒊 𝒚𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒂𝒎𝒃𝒂𝒐 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒅𝒂𝒍𝒂𝒍𝒊 𝒘𝒂 𝒌𝒊𝒔𝒊𝒂𝒔𝒂,

𝑲𝒊𝒏𝒈𝒊𝒏𝒆 𝒎𝒂𝒕𝒖𝒎𝒊𝒛𝒊 𝒚𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝒎𝒊𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒐 𝒚𝒂𝒑𝒐 𝒌𝒂𝒕𝒊𝒌𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂𝒕𝒊 𝒚𝒂 𝒖𝒋𝒆𝒏𝒛𝒊 𝒉𝒊𝒗𝒚𝒐 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒏𝒂𝒉𝒊𝒕𝒂𝒋𝒊 𝒖𝒇𝒂𝒇𝒂𝒏𝒖𝒛𝒊 𝒋𝒖𝒖 𝒚𝒂 𝒉𝒊𝒛𝒐 𝒕𝒖𝒉𝒖𝒎𝒂 𝒂𝒇𝒊𝒌𝒆 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒐𝒇𝒊𝒔𝒊 𝒛𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒎𝒂 𝒘𝒊𝒍𝒂𝒚𝒂.

𝑵𝒂 𝒎𝒘𝒊𝒔𝒉𝒐 𝒏𝒂𝒐𝒎𝒃𝒂 𝒏𝒊𝒘𝒂𝒌𝒖𝒎𝒃𝒖𝒔𝒉𝒆 𝒌𝒘𝒂𝒎𝒃𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒎𝒂 𝒄𝒉𝒂 𝒎𝒂𝒑𝒊𝒏𝒅𝒖𝒛𝒊 𝒏𝒊 𝒄𝒉𝒂𝒎𝒂 𝒄𝒉𝒂 𝒖𝒋𝒂𝒎𝒂𝒂 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒊𝒕𝒆𝒈𝒆𝒎𝒆𝒂 𝒉𝒊𝒗𝒚𝒐 𝒎𝒊𝒓𝒂𝒅𝒊 𝒚𝒐𝒕𝒆 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒆𝒏𝒅𝒆𝒍𝒆𝒐 𝒚𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒎𝒂 𝒉𝒖𝒇𝒂𝒏𝒚𝒘𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒏𝒈𝒖𝒗𝒖 𝒏𝒂 𝒎𝒊𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒐 𝒚𝒂 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒄𝒉𝒂𝒎𝒂 𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒅𝒂𝒖 𝒉𝒊𝒗𝒚𝒐 𝒌𝒂𝒎𝒂𝒕𝒊 𝒚𝒂 𝒔𝒊𝒂𝒔𝒂 𝒚𝒂 𝒘𝒊𝒍𝒂𝒚𝒂 𝒉𝒂𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒉𝒂𝒍𝒂 𝒂𝒎𝒃𝒂𝒑𝒐 𝒊𝒎𝒆𝒌𝒊𝒖𝒌𝒂 𝒌𝒂𝒕𝒊𝒌𝒂 𝒖𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒊𝒔𝒉𝒂𝒋𝒊 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒖𝒎𝒊𝒛𝒊 𝒚𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝒎𝒊𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒐 𝒌𝒊𝒍𝒂 𝒌𝒊𝒕𝒖 𝒌𝒊𝒑𝒐 𝒘𝒂𝒛𝒊.

𝑲𝑰𝑫𝑼𝑴𝑼 𝑪𝑯𝑨𝑴𝑨 𝑪𝑯𝑨 𝑴𝑨𝑷𝑰𝑵𝑫𝑼𝒁𝑰.
 
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Bwana Jumanne Makhanga analalamikiwa na wananchi ambao ni wanachama hai wa CCM Wilaya ya Manyoni kwa kuchangisha pesa zisizo na tija.

Mwenyekiti huyo kwa mwaka jana pekee amechangisha pesa kwa wanachama wote kwa kila Mwanachama kutoa Shilling mia tano kwa kila kichwa.

Wenyeviti wa vijiji wote tisini na sita (96) kila mmoja alitoa kiasi cha Shilling Laki moja (100,000) pamoja na wale wa mamlaka ya mji mdogo kitu ambacho ni kinyume na taratibu za kiofisi ,

Mwenyekiti huyo ambae anafahamika kwa jina la Jumanne Makhanga aliendelea kuchangisha fedha kiasi cha Shilingi laki moja na sitini (160,000/=) kwa Madiwani wote wa viti maalumu wanaotokana na wilaya hiyo.

Bado aliendelea kuchangisha fedha kutoka kwa wakuu wa idara pamoja na baadhi ya wafanyabiashara wilayani hapo kinyume na taratibu na matakwa ya chama cha Mapinduzi (CCM) ,

April 2024 bwana Jumanne aliendelea kuchangisha ng'ombe mmoja kwa kila kata ya wilaya hiyo kinyume cha taratibu za chama hicho. Amekuwa mungu mtu kwa wilaya ya Manyoni

Bwana Jumanne Makhanga ambae ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya manyoni amekosa uadilifu wa kuendelea kutumikia nafasi hiyo kwasababu amekua anakusanya michango ambayo ipo kwa ajili ya maslahi yake na siyo chama cha Mapinduzi (CCM)

Wana Manyoni ambao ni wanachama wa CCM wanaomba ufuatiliaji wa jambo hilj haraka sana kutoka kwa Kiongozi huyu ambae amekuwa mwiba mchungu kwao na walio wengi wanawaza kuachana na chama hicho kwasababu ya mtu huyu.

Kwa kumnukuu katibu Mkuu wa CCM ndugu Balozi Dr Nchimbi alisema mtu mmoja akifanya jambo la kijinga anakuwa mjinga yeye ila siyo wanachama wote. Kwa kauli hii itoshe kusema huu ni wizi wake kama Mwenyekiti kwa namna nzuri ya kunasua chama lazima huyo mtu akemewe na alaaniwe. Isibaki kuwa wimbo wa nani atamfunga paka kengele.

CCM NI SIKIVU...
CCM NI CHAMA DUME
CCM INA VIONGOZI MAKINI

JUMANNE MAKHANGA ANAICHAFUA MANYONI ANA ANAWAKWAZA WANA CCM WA MANYONI.
Mjinga anawachangisha wapumbavu
 
Back
Top Bottom