TANZIA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo afariki dunia

Katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Simiyu ndugu Mayunga George anatangaza kifo cha mwenyekiti wa CCM mkoa ndugu Enock Yakobo kilichotokea leo jumanne februari 22. Habari kamili zitawadia baadaye.
 
RIP. Tuendelee kuchukua tahadhari tena tahadhari kweli maana hamkani si shwari tena. Hao wanaobishania afya yako kwenye majukwaa na platforms mbalimbali ukifa ni lako na familia yako; hutamwona hata mmoja.
 
Gonjwa limeamua kulamba senior citizens halina mchezo kabisa! Wazee wetu (vijana na watoto pia) msibweteke na maneno ya wanasiasa; juhudi binafsi zinahitajika kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…