The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Sio alichangisha kwa nguvu za RC ?? sawa ni muda wa mapambo kwanzaPoleni!
Nakumbuka huyu mzee ndio alichangisha fedha nyingi za kumchukulia fomu ya kugombea urais ya Dr Magufuli 2020, aliwazidi wenyeviti wengine wote!
Kwani hapo Ufipa mna taarifa?Wewe si ulisema ilikua kimya kimya?
Tuna taarifa ya zawadi alizotuletea Waziri wa Mambo ya nje wa China.Kwani hapo Ufipa mna taarifa?
😂Tuko vzr ndugu zangu
Heeeee!
Tukadhani angalau leo kupite kimya?
Enyi mlio katika nafasi za kumfahamisha jiwe kubadili uelekeo bora mkafanya hivyo mngali hai.
Itakuwa haina maana sana kufanya hivyo mkiwa mmeshapumzika kwa amani.
Apumzike mwenyekiti huyu.
Tusipochukua tahadhari, tunaelekea kusikojulikana kwa kupotea watu makini na muhimu kwenye jamii.Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo amefariki dunia leo Jumanne Februari 23, 2020. Katibu mwenezi CCM mkoani humo, Mayunga George amethibitisha.
Chanzo: Mwananchi
Pole mkuu,hizo habari zikija baadae utujulishe mkuu kama kweli kafariki,naona hii ni kama TETESI.Katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Simiyu ndugu Mayunga George anatangaza kifo cha mwenyekiti wa CCM mkoa ndugu Enock Yakobo kilichotokea leo jumanne februari 22. Habari kamili zitawadia baadaye.
Amina na iwe hivyo.Chadema muishi milele.
Nyie mtaletewa zawadi ya gloves!Tuna taarifa ya zawadi alizotuletea Waziri wa Mambo ya nje wa China.
Tusi comment wala ku like lakini kusikiliza inaruhusiwa.👍🏾
Hata barakoa zimepigwa stop.Nyie mtaletewa zawadi ya gloves!
Hizo fedha zina uhusiano wowote na bandiko la kifo chake?...Poleni!
Nakumbuka huyu mzee ndio alichangisha fedha nyingi za kumchukulia fomu ya kugombea urais ya Dr Magufuli 2020, aliwazidi wenyeviti wengine wote!
you guy!! why so cruel!!Die like the rest of us
Barakoa tunazo, home made zinatutosha!Hata barakoa zimepigwa stop.
Tulipewa shehena ili tugawe bure kwa raia wote pamoja na wale waliopita bila kupingwa.Barakoa tunazo home made, zinatutosha!
Ndio zile anavaa Mdee bungeni na mahakamani kwenye ile kesi yenu ya kuvamia magereza!Tulipewa shehena ili tugawe bure kwa raia wote pamoja na wale waliopita bila kupingwa.