FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Feb 23, 2021 #61 brazaj said: Heeeee! Tukadhani angalau leo kupite kimya? Enyi mlio katika nafasi za kumfahamisha jiwe kubadili uelekeo bora mkafanya hivyo mngali hai. Itakuwa haina maana sana kufanya hivyo mkiwa mmeshapumzika kwa amani. Apumzike mwenyekiti huyu. Click to expand... Wewe aliyekukataza kuchukua tahadhari ni nani? Hadi utake JPM ndio aje akuambie?
brazaj said: Heeeee! Tukadhani angalau leo kupite kimya? Enyi mlio katika nafasi za kumfahamisha jiwe kubadili uelekeo bora mkafanya hivyo mngali hai. Itakuwa haina maana sana kufanya hivyo mkiwa mmeshapumzika kwa amani. Apumzike mwenyekiti huyu. Click to expand... Wewe aliyekukataza kuchukua tahadhari ni nani? Hadi utake JPM ndio aje akuambie?
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Feb 23, 2021 #62 Sky Eclat said: Inawezekana alitumia barakoa zilizoletwa na mabeberu. Click to expand... Unanivunja mbavu......!
Sky Eclat said: Inawezekana alitumia barakoa zilizoletwa na mabeberu. Click to expand... Unanivunja mbavu......!
Bigawas Senior Member Joined Feb 19, 2021 Posts 124 Reaction score 84 Feb 23, 2021 #63 Tujitahidi kuchukua tahadhari na kumwomba Mungu. Nimesikia taarifa ya habari marekani wameamua kushusha bendera nusu mlingoti baada ya vifo kufikia laki tano
Tujitahidi kuchukua tahadhari na kumwomba Mungu. Nimesikia taarifa ya habari marekani wameamua kushusha bendera nusu mlingoti baada ya vifo kufikia laki tano
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,674 Reaction score 29,643 Feb 24, 2021 #64 R.I.P
share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,064 Reaction score 10,468 Feb 24, 2021 #65 Hakushiriki uchafuzi?
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Feb 24, 2021 #66 Kila goti litapigwa Kwa walioshiriki kuiba kura 2020
Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,001 Feb 24, 2021 #67 johnthebaptist said: Kuna jamaa ameenda Dubai kuchanja kimya kimya! Click to expand... Nani, Kazi au Mwanaume huru
johnthebaptist said: Kuna jamaa ameenda Dubai kuchanja kimya kimya! Click to expand... Nani, Kazi au Mwanaume huru