Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ahitimisha Ziara Jimbo la Igunga kwa Kishindo

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ahitimisha Ziara Jimbo la Igunga kwa Kishindo

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TABORA AHITIMISHA ZIARA JIMBO LA IGUNGA KWA KISHINDO

  • Asisitiza ujenzi imara wa Chama
  • Asema Mikakati ya kujenga vitega uchumi na Kukuza mapato ya Chama ni mfano wa kuigwa
  • Atoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa Fedha nyingi za Miradi ya Maendeleo na kugusa maisha ya Watanzania wote.
  • Atoa pongezi kwa Mbunge na Waheshimiwa Madiwani kwa utekekelezaji wa Ilani ya CCM.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndg. Said Juma Nkumba (MNEC) akiwa ameambatana na Sekretarieti ya CCM Mkoa wa Tabora amehitimisha ziara ya kikazi kwenye Jimbo la Igunga kwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutoa pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi za miradi ya maendeleo inayogusa moja kwa moja mahitaji ya Wananchi kama vile huduma za afya, elimu, maji, umeme, mawasiliano, barabara na pembejeo za kilimo.

Aidha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora amekemea uvunjifu wa kanuni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa Wanachama mbalimbali wanaofanya vurugu kwenye Kata na Majimbo na kuwataka wawaache Wabunge na Waheshimiwa Madiwani wakamilishe muda wa kikatiba wa miaka mitano kwa kuwatumikia Wananchi bila bughudha.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.32.jpeg
    WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.32.jpeg
    582.2 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.33.jpeg
    WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.33.jpeg
    698.7 KB · Views: 7
  • WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.33(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.33(1).jpeg
    330.9 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.34.jpeg
    WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.34.jpeg
    438.4 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.35.jpeg
    WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.35.jpeg
    362.5 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.35(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-10-05 at 04.20.35(1).jpeg
    912.8 KB · Views: 3
Hizo picha kabla ya kupost uwe una bonyeza neno insert.ambapo ukifanya hivyo picha zinakuwa zinaonekana moja kwa moja na vizuri kabisa.

Zinakuwa zinaonekana katika muonekano huu
Screenshot_20241004-182328_1.jpg


Kwa hiyo mtu akifungua uzi wako anakuwa hana sababu ya kuanza tena kufungua upya picha .
 
Back
Top Bottom