Mwenyekiti wa CCM, Morogoro ampiga askari wa Usalama barabarani

STK ONE

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
627
Reaction score
184
Engineer Petro Kingu....Mweneyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kumpiga ngumi askari wa usalama barabarani.
Lakini mwenyewe amekanusha tuhuma hizi na kudai kuwa ni njama tu....hajaeleza ni njama gani???

SOURCE: HABARI ITV
 
Haaaaaa ccm mabondia lol mbona wanapigana wenyewe kwa wenyewe?
 
Engineer Petro Kingu....Mweneyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kumpiga ngumi askari wa usalama barabarani.
Lakini mwenyewe amekanusha tuhuma hizi na kudai kuwa ni njama tu....hajaeleza ni njama gani???

SOURCE: HABARI ITV

Kuna wakati huwa nahoji ujuha wa baadhi ya viongozi wa CCM kufikiri wapo juu ya sheria. Kwa nini asisingiziwe siku zote na iwe leo?
 
Huyu Mzee imekula kwake. I feel sorry for him. Naona aachane na siasa aendelee na ujeznzi. Kwanza fundi mchundo huyu..snahisi ndo wale wa bongo tambarale
 
Tuwe makini na wana CCM kwa sasa,wote naona wamechanganyikiwa
 
Huyu Mzee imekula kwake. I feel sorry for him. Naona aachane na siasa aendelee na ujeznzi. Kwanza fundi mchundo huyu..snahisi ndo wale wa bongo tambarale

Mkuu akiacha siasa ndo anaenda kufia ndani, hapo atleast ana ccm-Immunity..!!
 
wao ndo zao,naona polisi nao wameona wanadharaulika mno,aende akaolewe kidogo akitoka Lusinde atatusimulia
 
Huyu Mzee imekula kwake. I feel sorry for him. Naona aachane na siasa aendelee na ujeznzi. Kwanza fundi mchundo huyu..snahisi ndo wale wa bongo tambarale

mh chibulunje mbona unamkandia magamba mwenzako?
 
Back
Top Bottom