Pre GE2025 Mwenyekiti wa CCM Morogoro awapiga biti kali wagombea walioanza kampeni kabla ya muda uliopangwa

Pre GE2025 Mwenyekiti wa CCM Morogoro awapiga biti kali wagombea walioanza kampeni kabla ya muda uliopangwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Joseph Masunga amekemea vikali tabia inayofanywa na baadhi ya viongozi kufanya kampeni za chini chini kabla ya wakati kwani ni kinyume na Sheria za uchaguzi.

"Tunaelekea kwenye Uchaguzi ambao utafanyika Oktoba mwaka huu zipo tetesi kwamba kuna watu wanapita huku na huku sasa hiyo ni kinyume cha kanuni za uchaguzi ndani ya CCM lakini hata kanuni za Uchaguzi za Taifa pia"

=======================================================

Swali: Kanuni za CCM zikoje kwani? Mbona mwenyekiti wao ameanza kampeni na hawajitokezi kukemea?


 
Back
Top Bottom