Huu ni uhujumu uchumiMwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria.
Tekateka imeundwa na wateule wake. Kuna wateulewake wanaenda kuomba pesa kwa wafanyabiashara kwa mgongo wake.
Kwasababu ya upole upole na kupuuza mambo Rais Samia sasa ni kama pambo tu CCM ndiyo ukweli .
Polepole anasema vitu ambavyo hata yeye alikuwa hafahamu
Unajiburudisha wewe,kwa fikra za hovyoMwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria.
Tekateka imeundwa na wateule wake. Kuna wateulewake wanaenda kuomba pesa kwa wafanyabiashara kwa mgongo wake.
Kwasababu ya upole upole na kupuuza mambo Rais Samia sasa ni kama pambo tu CCM ndiyo ukweli .
Polepole anasema vitu ambavyo hata yeye alikuwa hafahamu
Huyo anajua kumbuka kipindi kile alisema hata mkipiga kura upande mwingine ccm itashinda nadhani alikuwa anamaniasha mfumo huu wa nidaMwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria.
Tekateka imeundwa na wateule wake. Kuna wateulewake wanaenda kuomba pesa kwa wafanyabiashara kwa mgongo wake.
Kwasababu ya upole upole na kupuuza mambo Rais Samia sasa ni kama pambo tu CCM ndiyo ukweli .
Polepole anasema vitu ambavyo hata yeye alikuwa hafahamu
Ni kubwia buyu la asaliUnamsaidiaje sasa
Acheni dharau ndugu zanguni,siyo kilakitu cha kuandika au kusema,yule ni mke,mama,bibi kwa baadhi ya watu na ni Rais wa nchi.Yeye kufanya kilakitu itakua haina maana ya kusema URAIS ni TAASISI.Muhimu watendaji wake wafanye kazi kulingana na matakwa ya wananchi ambao kwa namna moja au nyingine tumewapa dhamana na kitendo cha wao kutomsaidia Rais,inaweza kutafsiriwa ni HUJUMA.Tusifike huko,tuwashauri kadri ya uwezo wetu,wasipomsaidia Rais vema,wajue wanashawishi baadhi ya watu wanaotumia uhuru wa kuongea,kuweka bayana yale wanayoona wakiyasema ni stahki kwa waliopo madarakani,akiwemo Rais.
CCM na serikali mliyoiunda SKILIZENI wananchi.
Acha kumsafisa ccm yote ni uvundo unaolitesa taifaMwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria.
Tekateka imeundwa na wateule wake. Kuna wateulewake wanaenda kuomba pesa kwa wafanyabiashara kwa mgongo wake.
Kwasababu ya upole upole na kupuuza mambo Rais Samia sasa ni kama pambo tu CCM ndiyo ukweli .
Polepole anasema vitu ambavyo hata yeye alikuwa hafahamu
Mwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria.
Tekateka imeundwa na wateule wake. Kuna wateulewake wanaenda kuomba pesa kwa wafanyabiashara kwa mgongo wake.
Kwasababu ya upole upole na kupuuza mambo Rais Samia sasa ni kama pambo tu CCM ndiyo ukweli .
Polepole anasema vitu ambavyo hata yeye alikuwa hafahamu
Unajua Mkuu, ukiwasikiliza Watanzania unaona hawajui wanataka nini.. Rais akijua na kufanya kila kitu inakuwa ni one man show ambayo ni karibu sana na udikteta.. (hiki ndio kilifanya wapinzani wengi wamlaumu sana JPM). Dhana ya utawala bora sio kumuona mtu mmoja pekee ndiye anajua kila kitu, ndiye alfa na omega na ndiye yuko kila sehemu.. hii ndio inawapa shida sana wafuasi wa JPM kama kina polepole, wanataka Rais aliyeshika hatamu, Rais bulldozer nk nk... mimi ninaamini kwenye collective responsibility... tumuache Samia naye afanye kwa vile anavyoona labda atafugundisha pia dhana hii ambayo wabongo hatuna...Wana CCM wengine kama polepole, Gwajima, viongozi wa dini na Watanzania wa kawaida wanakubaliana na. Mimi kwamba Mama kwa sasa ni kama pambo . Wanamitandao, usalama wa taifa umemzidi kwasasa. Wateule wake Inabidi watekwe , afunge au kuuwa vijana wanao mpinga. No reforms no election. Wewe moelekee heshima. Heshima tunatoa kwa wanao jiheshimu
mama yangu hajawahi kuteka au kuuwa mtu au kufunga watu bila hatia
Basi sawaNi kubwia buyu la asali
Usimtetee; huyu maza ni jambazi🚮🚮🚮🚮Mwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria.
Tekateka imeundwa na wateule wake. Kuna wateulewake wanaenda kuomba pesa kwa wafanyabiashara kwa mgongo wake.
Kwasababu ya upole upole na kupuuza mambo Rais Samia sasa ni kama pambo tu CCM ndiyo ukweli .
Polepole anasema vitu ambavyo hata yeye alikuwa hafahamu
Sawa, we tumia madhaifu yake kuiingiza chadema Yako madarakani. Kwa maneno mengine, tumia muda wako kuongelea mazuri ya mwenyekiti wako anayeelewa vizuri........mwache Samia aendelee na yake.Mwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria.