Pascali kada mtiifu katoka na moko!! Bora mie nimetoka mlisi na kura 2Pascal Mayalla aisome hii
Hii ni noma mtaani kaka; wengine tuna makanisa; wengine tulikuwa na heshima kubwa kwenye vyama tulivyotoka!!
Huko mzee mi siko, mi natetea makada wenzangu tuliopata number za viatu.Tunataka pia tume huru
Mzee wetu Pascal Mayalla kajikusanyia kura 2
Hapana kaka, hili limetudhalilisha na kutufedhehesha sana.....yaani number ya kiatu igeuke iwe ndiyo idadi ya kura no no no no....!!Mkuu umebadilika lini hadi uwakilishe mawazo ya Pascal Mayalla?
Muda wa kuipata haupo kwa sasa bali tuombe kura zihesabiwe pia kituoni na majibu tupewe peupe kuondoa malalamiko na mafindofindoTunataka pia tume huru
Wewe si mwana CCM....tuache!!Tunataka hata kura za uchaguzi mkuu October 28 kura zote kila jimbo zihesabiwe kwa uwazi namna hii kama alivyoolekeza mwenyeketi wa CCM.
Zero ni zero sasa ulitaka iitwe 60?Moja kwa moja kwenye mada; kitendo cha Mwenyekiti wetu kusema kura zote ziwe za wazi na zote zitangazwe hadharani kweli kimetuumbua makada wengi mno.
Sasa mtaani hatuna amani kila ukipita unasikia 4 mara 2 mara zero. Kwa kweli Mwenyekiti wetu tunakupenda sana ila kwa hili umetuumbua sana sisi makada wenzako wa CCM.
Hatuna raha huku mtaani tafuta namna utusafishe walau useme hizo kura si kigezo cha kukubalika ndani ya chama bali yalikuwa ni majaribio tu.
Ni ombi tu Mwenyekiti wetu kama itakupendeza. Ni mimi kada nwaminifu wa kawe niliyepata kura 2.
Hapana kaka, kugombea ni haki ya kila mwanachama....sasa kitendo cha kutangaza hata sisi wa zero, 1, 2 hadi 6 ni aibu. Haya ni majibu ya tezi dume jamani.Zero ni zero sasa ulitaka iitwe 60?
Ikikupendeza acha kugombea subiri teuzi utajisikia huru.
Wengi tu kina Mtulia na wenzake
Mtamlamba sana miguu mwenyekiti wenu huku akiendelea kujineemesha na kuwafanya vikaragosi.Moja kwa moja kwenye mada; kitendo cha Mwenyekiti wetu kusema kura zote ziwe za wazi na zote zitangazwe hadharani kweli kimetuumbua makada wengi mno.