Mwenyekiti wa CCM umetuumbua

Hapana kaka, hili limetudhalilisha na kutufedhehesha sana.....yaani number ya kiatu igeuke iwe ndiyo idadi ya kura no no no no....!!
Namba ya kiatu cha mdori?
Namba sifuri,1 au2 namba ya kiatu cha kuvaa umri gani?
 
Muda wa kuipata haupo kwa sasa bali tuombe kura zihesabiwe pia kituoni na majibu tupewe peupe kuondoa malalamiko na mafindofindo
Naamini hili litafanyika kwa uwazi pia. Kila mgombea ahesabu kura zake mwenyewe kwa uwazi kabisa kuondoa mapichapicha na masanduku ya kura zisizojulikana!!
 
Sikuhizi kila mtu ana mdharau tu asifikiri kipindi ana mashabiki wengi enzi za ukawa na Sasa ni sawa, atulie kimya na ile video ndio imeharibu haswa
Kuna watu hapo mwanzoni alifanikiwa kuwadanganya kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu lakini ile video iliwapa uhakika wale waliokuwa na mashaka kama huyu bwana ni tapeli kupitia bebo la Mungu au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku kukiwa na uwazi namna hiyo kwenye kura za uraisi ,si ajabu na yeye akapata kura 2.
 
Poleila
 
Kuna watu hapo mwanzoni alifanikiwa kuwadanganya kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu lakini ile video iliwapa uhakika wale waliokuwa na mashaka kama huyu bwana ni tapeli kupitia bebo la Mungu au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli heshima yake imeshuka mno na watu wamempuuza na kumwona hamnazo, na alipoingia huko siasa za ccm ndo kabisa, huyo gwajima atulie atafakari na ajirekebishe na ccm wakimpitisha kugombea Kawe kazi kwa Halima itakuwa nyepesi mno, tangu nione ile video nikampuuza mazima na Hana haya kudaganya
 
Naamini hili litafanyika kwa uwazi pia. Kila mgombea ahesabu kura zake mwenyewe kwa uwazi kabisa kuondoa mapichapicha na masanduku ya kura zisizojulikana!!
Kugawe namba pale mlangoni za kila anayekuja kupiga kura. Waeleweke ni wangapi wamepiga kura. Kwenye hesabu kura za maruhani zisihesabiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…