johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa CCM TAWI la Uninio Kata ya Kunduchi mh Kambi amefariki jana na kuzikwa leo kwenye Mji Mkuu wa Ununio.
Mazishi yameongizwa na Shehe wa mkoa wa DSM alhad Walid.
Chama kimeongozwa na mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni na Viongozi mbalimbali akiwemo Meya Mstaafu mh Abuu Juma na mh Londo.
Shehe amesema Mtume Muhammad saw alifundisha kuyanena Mema ya marehemu na yale tunayodhani ni mabaya aachiwe Mungu.
Ramadan Mubarak