TANZIA Mwenyekiti wa CCM Ununio Kunduchi afariki dunia

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa CCM TAWI la Uninio Kata ya Kunduchi mh Kambi amefariki jana na kuzikwa leo kwenye Mji Mkuu wa Ununio.

Mazishi yameongizwa na Shehe wa mkoa wa DSM alhad Walid.

Chama kimeongozwa na mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni na Viongozi mbalimbali akiwemo Meya Mstaafu mh Abuu Juma na mh Londo.

Shehe amesema Mtume Muhammad saw alifundisha kuyanena Mema ya marehemu na yale tunayodhani ni mabaya aachiwe Mungu.

Ramadan Mubarak
 
Sawa sawa. Huo ndio uislam unavyofundisha. Lkn ukifa sio muislamu kwa mujibu wa uislam hata kama baba yako mzazi unatakiwa uangalie tu mazishi kama mgeni hutakiwi kushiriki kama wewe ni muislamu
 
Sawa sawa. Huo ndio uislam unavyofundisha. Lkn ukifa sio muislamu kwa mujibu wa uislam hata kama baba yako mzazi unatakiwa uangalie tu mazishi kama mgeni hutakiwi kushiriki kama wewe ni muislamu
Kwahiyo Muislamu huzikwa na Waislam?
 
Hunenwa mema yake ni siyo mabaya hata kama alikuwa kafiri?

Hili swali alipaswa kuulizwa shehe.
 
Hata awe kafiri akishakufa unatakiwa unyamaze kimya huku wewe ukishukuru na kuzidi kuomba ufe ukiwa muislam tena muislam mchaMungu
Kunyamaza ila siyo kumnenea mema!

Hapo sawa. Nilitaka nishangae, tulinenee mema likafiri!?
 
Kafir ni mtu yule anayejiita muislamu huku akiwa hafuati mafundisho ya Mtume Muhammad SAW
Kwa hiyo wakristo, wabudha, wayahudi, wakorea, washinto, wachina, wagagagigikoko, wajapan, wahindu, bushmen na wengineo sio makafiri?

Maana hawajiiti waislamu.
 
Kumbe wa Tawi nilidhani wa KADA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…