zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Wakuu habari za mchana, wakati joto la uchaguzi likizidi kupaa kuna hii notion imekuwa ikirudiwa rudiwa na Team Mbowe.
Kwanza walianza campaign team ya Mbowe, akafuata Mbowe mwenyewe kwenye mahojiano na gazeti la mwananchi na sasa imerudiwa na mashabiki wake hapo mlimani City.
Video hapo chini inasema Mbowe anakubalika zaidi na wajumbe ila Lissu anakubalika na wanachama hivyo Lissu hawezi kumshinda Mbowe. Sasa najiuliza, kwani mwenyekiti anaenda kuongoza wajumbe au wanachama.
Hivi hawa Team Mbowe wanadhani wajumbe ndio wana manufaa kuliko wanachama? This is delusional.
View: https://youtu.be/by2ETAqFwPI?si=InWMdnivdphNVYju
Niwaase wajumbe kama mnajua Lissu anakubalika na wanachama ambao ni mamilion kwanini basi wajumbe 1000+ ndio watoe hatma bila kusikiliza maoni ya wajumbe? Huyo Mbowe si atahitaji kura za wanachama hiyo oktoba au kura za urais na wabunge zitapigwa na wajumbe pekee?
I rest my case