Najisikia vibaya kutenda dhambi leo kwa kuwapa mbinu wale watawala wa Puerto Rico mana naona wanataka kutumia njia mbaya ya kumng'ng'aniza Mbowe awe mwenyekiti ili azeeke kwa stress akiwa mwenyekiti mana kachokwa haswa na Lisu hatakiwi.
Mnakumbuka ule uchaguzi wa DRC ambapo Joseph Kabila alikuwa anamaliza muda wake? Baada ya kupiga kura ilidaiwa Martine Fayulu kutoka upinzani kushinda uchaguzi.
Inasadikika, Josep Kabila akaona isiwe shida, wakampa mpinzani mwingine Felix Tshisekedi. Mchezo ukawa umeisha.
Sasa, ni vyema wale watu propaganda kutoka huko Puerto Rico kucheza huo mchezo. Waache kumng'ang'aniza Mbowe agombee kwa sababu wanamdharirisha bali wafanye mbinu wampe uenyekiti mwanachama ambaye atatoka from no where ili kubalance story. Mbona simple tu. Mbowe kachokwa jamani.
Hii ina maana kuwa, Mbowe akiwa mwenyekiti, chama kwisha habari yake mana jamaa kachokwa. Kwa upande mwingine, Lisu akiwa mwenyekiti, sirikali tumbo joto mana jamaa atakuwa anakuja na matamko na maandamano ya kutosha ndicho wanachoogopa watawala wa Puerto Rico. Lisu anaweza kusababisha kuwekewa vikwazo hivi hivi mfano kuitisha maandamano na kupigwa vibaya sana.