Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

huyu hakimu aliyemwachia Mbowe na Easter akae chonjo,jiwe hata mwacha asilani
 
Haiondoi uhalisia kwamba jamaa kaadabishwa kweli kweli!
Mwenzako kesho anatembelea miradi yake kukusanya mapato ya miezi mitatu wakati akiwa mahabusu wewe endelea kutembelea majukwaa ya jf na kuhesabu idadi za post za kumponda Mbowe.
 
Mahakama zetu siku zote zinatenda haki kwa mujibu wa sheria na mheshimiwa Mbowe analitambua hilo na kuanzia sasa atatii sheria bila shuruti.
 
Mahakama ni sehemu ya dola na hata mwenye yake Mamlaka akiamua leo huyo jeuri wako arejeshwe Sege na itakuwa. Jiongeze!
Hata Gaddafi alikuwa mwenye dola sijui yuko wapi siku hizi simsikii.
 
Tattizo ni uelewa wa ufipa tu, ila kuruka dhamana ni kosa ambalo linakufutia dhamana yenyewe, ni taratibu tu za kisheria jinsi zilivyo, hakuna mtu mwenye chuki na mtu kamanda.
Ulimsikia jaji alivyosema lkn,

"Ni hatari sana kunyima dhamana mtu bila sababu za Msingi" Jaji Sam Rumanyika.
 
Wivu wa kike hausaidii, usiishi kuangalia ya Mbowe ishi kuangalia ya kwako, Mbowe hata afungwe miaka 10 watoto wake watasoma watakula vizuri wewe utafaidika nini.

Mwenzako kesho anatembelea miradi yake kuhesabu mapato ya miezi mitatu ambayo alikuwa hajakusanya, wewe endelea kutembelea majukwaa ya jf na kuhesabu idadi za post ulizomponda Mbowe, uone kama utaongeza kipato.
 
MAY GOD BLESS YOU HON JUSTICE RUMANYIKA, mungu akupe maisha marefu katika hii dunia iliyojaa dhambi, chuki and madictator ambao wanafanya watu kutoweka, wengine kupigwa risasi na unyayasaji, hongera tena jaji rumanyika
 
Watakuwa wamejifunza! Miezi mitatu lupango unanyea debe siyo mchezo!
 
MAY GOD BLESS YOU HON JUSTICE RUMANYIKA, mungu akupe maisha marefu katika hii dunia iliyojaa dhambi, chuki and madictator ambao wanafanya watu kutoweka, wengine kupigwa risasi na unyayasaji, hongera tena jaji rumanyika
Vipi safari hii hamlalamiki kuwa waelekezo toka juu!!??
 
asante mkuu, lakini naona hii story itaadikwa hata wakati magufuli atakuwa bado ako haai
 
Watakuwa wamejifunza! Miezi mitatu lupango unanyea debe siyo mchezo!
Mwenzako kesho anatembelea miradi yake kukusanya mapato ya miezi mitatu, wewe miezi mitatu uliyokuwa huru umeongeza nini cha kumzidi Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…