Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Ilala: Mbowe atoe tamko kuhusu wapambe wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwanachama wa Chadema, Waziri Mwanyevyale, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hiko Mkoa wa Ilala, amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe kutoa tamko, kuhusu baadhi wa wanachama wa Chama hiko wanaotukana wenzao mtandaoni, kwa baadhi ya watu ambao wameonesha nia ya kugombea.
Your browser is not able to display this video.
 
Panapokuwa na uchaguzi, uwepo wa makundi na vijembe ni jambo la kawaida. Hii Wala sio tukio la kupanic.
 
Vikambalie visokolokwinyo ni mwendo wa Press juu ya Press...

Hawa madogo wangejua moto wanaoucheza ni long term and career destructive wasingeendelea nao...

Style hii hii itatumiwa na wajanja na wapinzani wa CDM baadae kupenyeza agenda zao....

Wanaoipenda CDM ni muda wa kuwaadhibu hawa madogo na ikiwezekana kuwanyima uongozi kwa muda mrefu sana baadae...

I mean wote....
 
Karipoti polisi! Kama kikuuma
 

Huna neno lolote kwa wakongwe?



Cc: imhotep
 
huu uchaguzi nina wasiwasi vyama pinzani vinaingia kwa kupenyeza penyeza watu ili kuchafua au kuyumbisha chama
 
Nimeiangalia hiki kijitu, kama mkubwa sana kazaliwa 2007
 
Hapa ni Dagaa anamtishia Papa
 
Anapata wapi ubavu wa kumuagiza Mwenyekiti wake?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…