Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa: Ilikuwa ni kidogo Mbowe anyongwe. Hakuna mtu aliyefungwa mara nyingi kama Mbowe

Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa: Ilikuwa ni kidogo Mbowe anyongwe. Hakuna mtu aliyefungwa mara nyingi kama Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Mandela alifungwa miaka 27 lakini alitawala South Africa sio zaidi ya miaka 5

Mbowe anakaa jela kwa mikakati ya kimaslahi kukitumia chama kwa maslahi yake kimataifa, kibiashara na kiuchumi Hana jipya!!
 
Sio Kweli
Wapo walifungwa zaidi yake
 
Siku sio nyingi tutanua kuwa hata Mbowe kulala mahabusu ilikuwa ni drama tu.
Huku mlango wa nyuma akijaziwa mipesa ya kufa mtu
 
Unaturudisha kulekule kwa Lissu kutumia mguu na risasi 16 kuwa mbadala wa hoja zake.
Wafuatiliaji tunataka kuona mnyukano wa hoja sio huruma na ujanjaujanja.
 
Huyo Mwenyekiti ndio alimnunulia Mrema BIA 19 Ili ampendelee Sugu 😄😄
 
Back
Top Bottom