Akizungumza kwenye moja ya hoja zale kwanini Mbowe aendelee kuwepo, Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa amesema kuwa ilikuwa ni kidogo tu Mbowe anyongwe iwapo ile kesi yake ya ugaidi ingesikilizwa
======================================
Hivi kati ya Mbowe na Lissu nani alikuwa on the verge ya kufa kwa sababu ya chama?
Unaturudisha kulekule kwa Lissu kutumia mguu na risasi 16 kuwa mbadala wa hoja zake.
Wafuatiliaji tunataka kuona mnyukano wa hoja sio huruma na ujanjaujanja.