Umefurahiii, utadhan huyo aliekufa sio mtanzania mwenzioTaarifa ya polisi hii hapa
View: https://www.instagram.com/reel/DTnn48ugqXg/?igsh=MW41N21zYXRneDM5
Video courtesy Mwananchi Communication.
Ni taahira tu anayeweza kuamini taarifa ya hawa majambazi wanaovaa uniformTaarifa ya polisi hii hapa
View: https://www.instagram.com/reel/DTnn48ugqXg/?igsh=MW41N21zYXRneDM5
Video courtesy Mwananchi Communication.
Kulingana na unavyofahamika na unazi wako hata kama ikiwa ni hila za evil chama ni ngumu kuupata ukweli kutoka kwako na wenye nia ovu na watanzania na watanganyika.Hivyo tunaomba taarifa zaidi na za kweli kutoka vyanzo huru.Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake.
Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya kugundulika, hali iliyosababisha mwili wake kuvimba na kuanza kuoza, huku harufu kali ikiwashtua ndugu na majirani.
Akizungumza na Mwananchi leo Januari 17, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza uchunguzi unaendelea.
“Askari walipofika eneo la tukio walibaini mlango wa chumba anachoishi ulikuwa umefungwa kwa ndani. Walipoingia walikuta mwili umelala chini na kulikuwa na harufu ya pombe,” amesema Kamanda Maigwa.
Amesema kwa mujibu wa maelezo ya mashuhuda na majirani, marehemu alikuwa mtumiaji wa pombe kali na wakati mwingine alikunywa bila kula.
View attachment 3531369
Video courtesy Mwananchi
Ninayo mashaka iwapo haukuwa sehemu ya genge la mauaji ya oct to remember?Kwa mitazamo na matamanio yako ya kila mara yanayohusu haki ya maisha na maslahi ya Mtanzania ikiwa ni pamoja na haki ya kuishi.Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake.
Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya kugundulika, hali iliyosababisha mwili wake kuvimba na kuanza kuoza, huku harufu kali ikiwashtua ndugu na majirani.
Akizungumza na Mwananchi leo Januari 17, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza uchunguzi unaendelea.
“Askari walipofika eneo la tukio walibaini mlango wa chumba anachoishi ulikuwa Ninayoumefungwa kwa ndani. Walipoingia walikuta mwili umelala chini na kulikuwa na harufu ya pombe,” amesema Kamanda Maigwa.
Amesema kwa mujibu wa maelezo ya mashuhuda na majirani, marehemu alikuwa mtumiaji wa pombe kali na wakati mwingine alikunywa bila kula.
View attachment 3531369
Video courtesy Mwananchi